Vitalis Konga
Senior Member
- Sep 22, 2018
- 127
- 231
Leo nimeona nikuletee hii hapa baada ya kukuta mabishano mara kadhaa kuhusu mishahara ya walimu katoka nchi kadhaa za Afrika.Kuanzia ngazi ya Chini kabisa hadi ya juu,yaani certificate na hadi anayepata juu zaidi.Vyanzo vya taarifa ni Salaryexplorer, UNESCO, Payroll Specialist na tafiti mbalimbali.
1.KENYA
Hii inatajwa kuwa miongoni mwa nchi tano zinvizuri walimu wake Afrika,pia ni miongoni mwa nchi zinazotajwa kutoa elimu bora inayomsaidia raia hata nje ya shule baada ya kumaliza.Nchi hii inatajwa kutoa mshahara kwa mwalimu unaoanzia Tsh 1,609,222/= hadi 6,118,061/= in basic salary.
Mshahara wao uliongezeka baada ya kuifungulia kesi serikali kwa kudai kuongezewa mishahara baada ya kushindana na serikali yao.
2.MOROCCO
Hili ni moja ya taifa la Afrika linalotajwa kutoa mishahara mizuri kwa wafanyakazi wake hususani walimu ambapo kwa mujibu wa United Education Scientific and Cultural Organization mwalimu anapoanza kwa ngazi ya cheti hadi shahada kwa hela ya kitanzania ni TSH 2,562,976/= kwa anayeanza kazi kwa elimu ya cheti na mshahara wa juu zaidi kwa walimu hawa ni Tsh 5,323,304/= hii inaelezwa na Salaryexplorer.
Hata hivyo mwalimu anayefundisha English Morocco anakuwa na mshahara mkubwa kuliko yeyote yaani mshahara wao ni juu zaidi ya hapo kutokana na kuhitaji sana wataalamu wa kingereza.Wale waaofundisha private mshahara ni kati ya Tsh 3,116080/= na wa juu kabisa ni Tsh 5,193,467/= kwa mwezi.Hiyo ni basic
3.Ghana
Hii ni moja ya nchi ambazo zinatajwa kutoa mishahara mizuri kwa walimu wake ambapo Salaryexplorer wanasema walimu wao huanza na mshahara wa Tsh 1,032,893/= 3,927,395/=
4.Msumbiji
Mwalimu anayefundisha Msumbiji huanza na mshahara wa Tsh 1,203,580.86/=nambapo mshahara wa juu zaidi ni Tsh 2,575,217/=
5.South Africa
Mtu ambaye anafanyakazi ya uwalimu nchini Afrika ya kusini kwa mujibu wa Salaryexplorer anapokea mshaara usiopungua Tsh 4,586,790/= na mwalimu anayepokea kiasi cha juu zaidi ni 8,392,536/= kwa mwezi.
6 . Uganda
Uganda pia mshahara wao ni Tsh 1,745,335/=hadi 3,194,530/= kwa mwezi
("
"Teaching / Education Average Salaries in Uganda 2020 - The Complete Guide" Teaching / Education Average Salaries in Uganda 2020 - The Complete Guide
7.Sudan
Huku katika Mtandao wa *Salaryexplorer* mwalimu nchini kwao huanza na mshahara wa Tsh 783,093/= hadi 2,972,389/=
8.Namibia
Kwa mujibu wa utafiti wa Namibia in Education Science and Research inaeleza kwamba mwalimu huanza na Tsh 1,744,406/= hadi 3,401,287/=
9.Rwanda
Huku Rwanda ikielezwa katika Salaryexplorer kwamba mwalimu hulipwa kuanzia Tsh 1,331,918/= hadi 3,401,287/=
Secondary School Teacher Average Salary in Rwanda 2020 - The Complete Guide
10.Angola
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali mwalimu huanza na mshahara wa Tsh 1,168,634/= hadi 2,138,263/=
Kwa maswali zaidi usiwe mvivu wa kutafuta taarifa ingia Salary explorer,Unesco,payroll specialists
Imeandikwa na
Vitalis Konga
Mwana Vasamwenda
0717354277
0628308876
Email vitalisikonga83@gmail.com