Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania
Zambia-millioni 1.9
Namibia-millioni 5.7
Africa kusini-millioni 6.2
botswana-millioni 4.023
kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
wazambia wamemuingiza sata kawapa hizo mwaka huu ni nyongeza ya 100%
Ahsante kwa taarifa hii,I badly needed it.Kwa mantiki hiyo madaktari wetu wana deserve kulipwa kiwango wanacho dai and probably more,hasa tukizingatia kwamba nchi yetu ni tajiri,only that hela hela zetu zinaingia kwenye mifuko ya mafisadi wachache.