Mishahara serikali mbona kimya mpaka leo?

Mishahara serikali mbona kimya mpaka leo?

Mmmmmh mm nshasahau maana toka tar 23 nimepewa pole sn mpwa embu ulizia vzr.
 
Jamani hii serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?

Leo tarehe 30/12/2013 hakuna mishahara!

Nini kinaendekea katika hili?
​Kama hukujaza OPRAS huna mshahara mwezi huu!! Chezea Kombani weye!
 
usikute mishahara yenu ilitumika kwenye kucheck afya ya mkulu na mkewe unajua safari zake akienda huko
 
Kwani aliekutuma kuweka uchafu huu hapa hajakupa pesa?

anatumika vibaya, watu mishahara imeshakwisha ye ndo anaulizia.
Labda anafanya kazi serekali ya kuzimu.
 
naona hao walipopata wako TZ sie watanganyika hatujapata bado
 
Niulizie wapi wakati serikali imefilisika?!

Wewe sema halmashauri yenu ndo hailipa siyo wilaya zote bwana! Wengine tumeutumia tangu kwene sikukuu mpaka tumeanza kuangalia tarehe tena! Acha uzushi mkuu?
 
Sio tasisi zote mishahara imetoka kama tasisi nyingine bado mpaka leo
 
Back
Top Bottom