Mishahara serikali mbona kimya mpaka leo?

Jana sisi ofcn imetoka internal memo kwamba hawajapokea hundi toka hazina mpaka jana saa saba mchana hvyo tuwe wavulilivu. Inatia hasira saana.
 
Jana sisi ofcn imetoka internal memo kwamba hawajapokea hundi toka hazina mpaka jana saa saba mchana hvyo tuwe wavulilivu. Inatia hasira saana.

Hii serikali imefulia!

Na huu ni mwanzo tu,tujiandae kwa machungu zaidi!
 
Iyo inakuwa kama kenya sasa mishaala kwa awamu sekta moja ikilipwa isubili miezi sita ndio ije kulipwa tena du east africa nomasana wakubwa awana wasiwasi na mishaala yao wanawatesa wafanyakazi wachini du poleni sana tena sana nduguzanguni!!!
 
Back
Top Bottom