Mishahara serikali mbona kimya mpaka leo?

Wewe sema halmashauri yenu ndo hailipa siyo wilaya zote bwana! Wengine tumeutumia tangu kwene sikukuu mpaka tumeanza kuangalia tarehe tena! Acha uzushi mkuu?

Wala siko halmashauri ila niko kwenye taasisi moja kubwa na nyeti sana.
 
mh!mimi niko sekta ya afya hakijaeleweka...CRDB !

Huyo aliejidai ni wa sekta ya afya ni uwt labda! Nasikia wao na wajeda (ila sio uhamiaji, magereza na zimamoto) wakichelewa ni tarehe 20 ya kila mwezi mshahara ushatoka
 
Sorry wadau nna swali. Eti ni benki gani nzuri kutumia kwa ajili ya kuchukulia mshahara ambapo pesa inawahi kuingia kwa watumishi wa umma kati ya NmB na Crdb ?

zote nzuri ila ukiwa crdb bank inachelewa kwasababu lazima ipite nmb kwanza! ila kuwa nmb kwa ajili ya hundi au TISS
 
Msimbishie alouliza...siku hizi mshahara unatoka kwa mafungu...mimi na mume wangu tuko sector tofauti; wakati mwingine mmoja anawahi kulipwa mwingine analipwa mwanzo wa mwezi unaofuata...serikali inachanga changa toka kwenye kodi kulipa mishahara hivyo naona inashindwa kulipa on time...

Ni dalili ya hatari sana kukopa mishahara

Kama wewe umepata mshahara jua kuna wengine bado wanasubiri
 
yeah hili linawezekana!
 
Kodi zenyewe ndio hivyo nimesoma mahali Barrick hawajalipa hata senti tano toka wameanza kuwekeza Tanzania despite bei ya gold kupanda...sasa bei imeporomoka ndio tutapiga mihayo...
 
kwani wewe unafanya kazi za ndani kwa mwigulu au nape?

usichukulie kila mtu ni mpambe humu ndani janvini. Kwani huongo? Nyie vijana wa Lema Mkitoka Mombasa tu mnadai mmetoka kwenyekazi maalum na nyeti, ila ni kweli mombasa si mchezo, Bossi wenu anatambua alipotoka Mombasa alibadili mwendo.
 
io ukweli mimi I mtumishi wa Serikali nimeipwa mshahara tangu tarehe 2/2/2013kama ni muugwana taja Taasii, Halmashauri ama wizara ambayohaijalia watuihi wak mpak eo au wewe mshahara wako wote umekatwa kwenye mikopo
 
Back
Top Bottom