KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,213
- 56,852
Ajira haziwezi kuwa wazi na Kama itatokea hivyo jua hata mshahara utakuwa mnono zaidi na heshima itakuwepo kwa watumishi maana ajira itakuwa inamtaka mtu zaidi maana wapi wachache.. we angalia hata sahivi tu zikitangazwa ajira watu wanaohitajika ni wachache tu ila grupu linaloenda Sasa!.. halafu Mimi sio wakwanza kusema hivi mbona hata serikali yenu inawaambia mjiajili!!.MKUU kweli watumishi wote wakifuata ushauri wako ,je tutakua na ofis za umma zilizo imala kweli,
Nafikili waboreshewe vipato vyao na wapewe chao mapema itasaidia,