Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

Hakuna wakati ambao Tanzania ilivunja rekodi kwa uwingi wa watu kufuatilia Bunge kama hili sakata la skendo ya ESROW. Watu walifuatilia ktk TV,radio na hata ktk mitandao
Kuna michango mingi ilitolewa ya wabunge ilikuwa ya busara, vituko,kejeli nk..Kuna misemo ambayo imeiweka Bunge hilo ambayo binafsi na wengine hatutaweza kusahau..hapa chini ni baadhi ya matamko mbalimbali ninayoikumbuka. Kama unayoyo misemo ambayo nimeisahau...jalibu kutupia hapa

Zitto ...”serikali ilipata ganzi na ikagandishwa”
Lusinde:...” unadhani kujiudhuru ni jambo dogo”
Lusinde: “Leo mnasimama hapa awajibike awajibike, wewe umewahi kuwajibika? unadhani kuwjaibika mchezo?”
LusindeMzee Pinda we nenda na kimya kimya yako hadi Mungu atakapokujalia. Habari ya kukutoa hapa haipo.”
LusindeMnasema fedha sio serikali sasa kama fedha sio za serikali tangu lini CAG akakagua fedha zisizokuwa za serikali.”usinde;..”unanibania pua....mimi siyawezi...nimekatazwa
Ole SendekLa;..”Profesa Muhongo anajua miamba na sio mambo ya juu”
Filiko Njombe; ...”Hakuna profesa muongo kama profesa Muhongo”
Asumpta; “PAC ni ya UKAWA”
Mpina: "Ni bahati mbaya tuna Profesa muongo kama Muhongo ambaye ni Waziri wa Nishati na Madini"
Zitto: "Nimekuwa na mgogoro na chama changu lkn kwenye hili wameniunga mkono, kwa mara ya kwanza nimehudhuria kikao cha UKAWA"
Kigwalagwala;...”sijawahi kumwona profesa muongo kama Muhongo”
Zitto: "Naomba wanaonishughulikia wanishughulikie mimi; mwacheni mamangu apumzike"
Mwandosya ;..”serikali tukubali na tujirekebishe na tujifunze”
Kafulila: "Tusiache kujadili kifo cha Waziri Mgimwa kisa mwanae hataki; kuna siku Rais atakufa na mwanae atataka tusichunguze"
Zitto;...”mimi ni mwanasiasa na nina ngozi ngumu”
Makinda;...”wasio soma sheria ndio wanaopiga kelele”
Makinda;...” sitakikusikiliza waswahili”
Makinda;...”leo mpaka kibuyu cha Escrow kivunjike”

Mkuu,kuna ile ya kibuyu cha bibi kilichokuwa kinakula kuku,baadaye mbuzi,mwishowe mtoto wa jirani.
 
kangi lugola:mhe mwenyekiti naomba nivae kininja ili nisiwatazame usoni wezi wa escrow
 
Mhe. Kangi Lugola: Acha nivaa kininja ili nisiwaonee aibu hawa wezi
Mhe Spika: Formulatin yamapendekezo inanitia matatani kwai tayar nimeshagbana na muhimili wa mahakama sasa nikigombana na serikali nitakuwa mgeni wa nani?
 
Mh Mbowe tafadhali nakuomba usiondoke, mh mbowe tafadhali sana -Anna Makind
 
msiondoke jamani tumeanza pamoja tumalize pamoja-Ole Sendeka
 
hata zitto naye amechota mgawo kwa singasinga
 
Kafulila ::serekali ya KANU iliondolewa na sakata la golden burge na hii ya ccm itaondolewa na ESKRO
 
Hakuna wakati ambao Tanzania ilivunja rekodi kwa uwingi wa watu kufuatilia Bunge kama hili sakata la skendo ya ESROW. Watu walifuatilia ktk TV,radio na hata ktk mitandao
Kuna michango mingi ilitolewa ya wabunge ilikuwa ya busara, vituko,kejeli nk..Kuna misemo ambayo imeiweka Bunge hilo ambayo binafsi na wengine hatutaweza kusahau..hapa chini ni baadhi ya matamko mbalimbali ninayoikumbuka. Kama unayoyo misemo ambayo nimeisahau...jalibu kutupia hapa

Zitto ...”serikali ilipata ganzi na ikagandishwa”
Lusinde:...” unadhani kujiudhuru ni jambo dogo”
Lusinde: “Leo mnasimama hapa awajibike awajibike, wewe umewahi kuwajibika? unadhani kuwjaibika mchezo?”
LusindeMzee Pinda we nenda na kimya kimya yako hadi Mungu atakapokujalia. Habari ya kukutoa hapa haipo.”
LusindeMnasema fedha sio serikali sasa kama fedha sio za serikali tangu lini CAG akakagua fedha zisizokuwa za serikali.”usinde;..”unanibania pua....mimi siyawezi...nimekatazwa
Ole SendekLa;..”Profesa Muhongo anajua miamba na sio mambo ya juu”
Filiko Njombe; ...”Hakuna profesa muongo kama profesa Muhongo”
Asumpta; “PAC ni ya UKAWA”
Mpina: "Ni bahati mbaya tuna Profesa muongo kama Muhongo ambaye ni Waziri wa Nishati na Madini"
Zitto: "Nimekuwa na mgogoro na chama changu lkn kwenye hili wameniunga mkono, kwa mara ya kwanza nimehudhuria kikao cha UKAWA"
Kigwalagwala;...”sijawahi kumwona profesa muongo kama Muhongo”
Zitto: "Naomba wanaonishughulikia wanishughulikie mimi; mwacheni mamangu apumzike"
Mwandosya ;..”serikali tukubali na tujirekebishe na tujifunze”
Kafulila: "Tusiache kujadili kifo cha Waziri Mgimwa kisa mwanae hataki; kuna siku Rais atakufa na mwanae atataka tusichunguze"
Zitto;...”mimi ni mwanasiasa na nina ngozi ngumu”
Makinda;...”wasio soma sheria ndio wanaopiga kelele”
Makinda;...” sitakikusikiliza waswahili”
Makinda;...”leo mpaka kibuyu cha Escrow kivunjike”
Ashki Majnun
 
Ole Sendeka: Rushwa pekee ndio inaweza kumbadilisha mwanaume akawa mwanamke na mwanamke kuwa mwanaume!
 
so what unanibania pua mi sifanyi michezo hiyo, Livingston lusinde
 
Ngombe Kaliwa n Simba n baadae wakaja kina fisi mbwa mwitu ndege kua mnofu,
 
"Manyu" huyu alikuwa mbunge WA magamba kupitia kiti special.ha ha ha ha ccm kiboko.
 
kangi lugola:mhe mwenyekiti naomba nivae kininja ili nisiwatazame usoni wezi wa escrow
Hii ndio ilinivunja mbavu kuliko, na kukatishwa tamaa na kauli ya Mshana kuwa "nina shaka na UCCM wa wajumbe wa PAC". Kanakwamba wote ni CCM, au hata wanaCCM wako kule kulinda maovu....!
 
"Mlikuja na Kagoda, Meremeta, Richmond na sasa Escrow ila CCM itashinda tu"- simkumbuki jina lahuyu mama/mwalimu toka vitu maalum aliboa sana badala ya Manual akasema "Manyu" nikumbusheni jina lake.
 
Back
Top Bottom