Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

Sijawahi kutana na Profesa muongo kama huyu. By Kigwangala
 
Hakuna wakati ambao Tanzania ilivunja rekodi kwa uwingi wa watu kufuatilia Bunge kama hili sakata la skendo ya ESROW. Watu walifuatilia ktk TV,radio na hata ktk mitandao
Kuna michango mingi ilitolewa ya wabunge ilikuwa ya busara, vituko,kejeli nk..Kuna misemo ambayo imeiweka Bunge hilo ambayo binafsi na wengine hatutaweza kusahau..hapa chini ni baadhi ya matamko mbalimbali ninayoikumbuka. Kama unayoyo misemo ambayo nimeisahau...jalibu kutupia hapa

Zitto ..."serikali ilipata ganzi na ikagandishwa"
Lusinde:..." unadhani kujiudhuru ni jambo dogo"
Lusinde: "Leo mnasimama hapa awajibike awajibike, wewe umewahi kuwajibika? unadhani kuwjaibika mchezo?"
Lusinde:" Mzee Pinda we nenda na kimya kimya yako hadi Mungu atakapokujalia. Habari ya kukutoa hapa haipo."
Lusinde:" Mnasema fedha sio serikali sasa kama fedha sio za serikali tangu lini CAG akakagua fedha zisizokuwa za serikali."usinde;.."unanibania pua....mimi siyawezi...nimekatazwa
Ole SendekLa;.."Profesa Muhongo anajua miamba na sio mambo ya juu"
Filiko Njombe; ..."Hakuna profesa muongo kama profesa Muhongo"
Asumpta; "PAC ni ya UKAWA"
Mpina: "Ni bahati mbaya tuna Profesa muongo kama Muhongo ambaye ni Waziri wa Nishati na Madini"
Zitto: "Nimekuwa na mgogoro na chama changu lkn kwenye hili wameniunga mkono, kwa mara ya kwanza nimehudhuria kikao cha UKAWA"
Kigwalagwala;..."sijawahi kumwona profesa muongo kama Muhongo"
Zitto: "Naomba wanaonishughulikia wanishughulikie mimi; mwacheni mamangu apumzike"
Mwandosya ;.."serikali tukubali na tujirekebishe na tujifunze"
Kafulila: "Tusiache kujadili kifo cha Waziri Mgimwa kisa mwanae hataki; kuna siku Rais atakufa na mwanae atataka tusichunguze"
Zitto;..."mimi ni mwanasiasa na nina ngozi ngumu"
Makinda;..."wasio soma sheria ndio wanaopiga kelele"
Makinda;..." sitakikusikiliza waswahili"
Makinda;..."leo mpaka kibuyu cha Escrow kivunjike"
 
Hakuna wakati ambao Tanzania ilivunja rekodi kwa uwingi wa watu kufuatilia Bunge kama hili sakata la skendo ya ESROW. Watu walifuatilia ktk TV,radio na hata ktk mitandao
Kuna michango mingi ilitolewa ya wabunge ilikuwa ya busara, vituko,kejeli nk..Kuna misemo ambayo imeiweka Bunge hilo ambayo binafsi na wengine hatutaweza kusahau..hapa chini ni baadhi ya matamko mbalimbali ninayoikumbuka. Kama unayoyo misemo ambayo nimeisahau...jalibu kutupia hapa

Zitto ...”serikali ilipata ganzi na ikagandishwa”
Lusinde:...” unadhani kujiudhuru ni jambo dogo”
Lusinde: “Leo mnasimama hapa awajibike awajibike, wewe umewahi kuwajibika? unadhani kuwjaibika mchezo?”
Lusinde:” Mzee Pinda we nenda na kimya kimya yako hadi Mungu atakapokujalia. Habari ya kukutoa hapa haipo.”
Lusinde:” Mnasema fedha sio serikali sasa kama fedha sio za serikali tangu lini CAG akakagua fedha zisizokuwa za serikali.”
Lusinde;..”unanibania pua....mimi siyawezi...nimekatazwa
Ole Sendeka;..”Profesa Muhongo anajua miamba na sio mambo ya juu”
Filiku Njombe; ...”Hakuna profesa muongo kama profesa Muhongo”
Asumpta; “PAC ni ya UKAWA”
Kigwalagwala;...”sijawahi kumwona profesa muongo kama Muhongo”
Mwandosya ;..”serikali tukubali na tujirekebishe na tujifunze”
Mpina: "Ni bahati mbaya tuna Profesa muongo kama Muhongo ambaye ni Waziri wa Nishati na Madini"
Zitto: "Nimekuwa na mgogoro na chama changu lkn kwenye hili wameniunga mkono, kwa mara ya kwanza nimehudhuria kikao cha UKAWA"
Zitto: "Naomba wanaonishughulikia wanishughulikie mimi; mwacheni mamangu apumzike"
Kafulila:"Tusiache kujadili kifo cha Waziri Mgimwa kisa mwanae hataki; kuna siku Rais atakufa na mwanae atataka tusichunguze"

Zitto;...”mimi ni mwanasiasa na nina ngozi ngumu”
Makinda;...”wasio soma sheria ndio wanaopiga kelele”
Makinda;...” sitakikusikiliza waswahili”
Makinda;...”leo mpaka kibuyu cha Escrow kivunjike”
Makinda...”Mie kukesha sina tatizo niko veri freshi”

Mm ni mwanasiasa ninangozi ngumu sana, nishambulieni muwezavyo. Lakini mwacheni Mama yangu apumzike - by Mh. Zitto.
 
..haa afadhali komba hakuzungumza, maana angesema kama mawaziri wakijiuzulu yeye ataingia msituni!
 
..haa afadhali komba hakuzungumza, maana angesema kama mawaziri wakijiuzulu yeye ataingia msituni!
Huyu muda wote alikuwa amezinzia habari ya escrow sijui sicorali hajui, hangetoka usingizini asingeacha aliyoongea Lusinde na Asumpta Mshana, angeongezea kuwa, ikiwa watapinda kumsulubu Pinda, atapindua nchi.
 
' I missed you guys..thank you' -Zitto Kabwe
 
[video]-----[/video] bmunge aliyejiita -----
 
Back
Top Bottom