Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

mmewatuma akina kibajaji hata kiingereza hajui wanaingilia tu proffessinal za watu,,,',Halima mdee'
 
Hahahahahaaaaa Mpwa kama unashindwa kulitumia basi utakua una ASHKI majinuni sio bure..... Kwa kweli sijui maana halisi. Japo ASHKI ni hamu, Majinuni naskia ni kitu kibaya....
Kwa tafsiri ya kamusi ya karne ya 21;
Ashiki - hamu kubwa ya kufanya mapenzi; nyege, kawama
Ashiki - mpenzi wa kitu fulani, mshabiki wa kitu fulani
Ashiki - shikwa na tamaa kali, shikwa na hamu kubwa

majununi - mtu aliyepungukiwa na akili; mpumbavu, punguani
majununi - maneno ya kijinga au kipumbavu yanayochekesha
 
Hansadi hizi hapa, na wewe sada wasemaje? Tulia,

Hii kauli sijaipatia jibu kati ya zitto na sada mkuya, kila Mara alikua anamkaripia huyu mama kana kwamba kuna kitu kinaendelea
 
Makinda: Nyie mnaopiga kelele tukiwasimamisha tutakuta hamna hata kitu..akimaanisha hawana elimu kichwani mwao. Na hao walikuwa wanapiga kelel wakati Lisu akifanunua jambo kisheria..
 
mimi ni dalali wa kupeleka umeme vijijini,dalali wa kupeleka vijana nje kwenda kusoma....
 
Jamani majibizano kati ya Makinda na yule Mbunge mwanamama kuhusu Tenesco ilitaka kusababisha niingie mtaroni. Daaah yule mama alitia fora
 
Back
Top Bottom