ndio hiyo hiyo a.k.a visalufeti
ashk majinuni ilitisha sana
Hahahaha..."MTEMI" ENDREW CHENGE
hahaha! VIJISENTI tu hivyo...na bado anaendelea kuvuna! ama kweli tz ni shamba la bibi.
umenikumbusha mbali A.Makinda anaongea kama yupo ubenani!hivi mimi mnanitakia nini?jamani kumbuka ninatatizo nimeishaingilia muhimili mmoja wa mahakama..ntakuwa mgeni wa nani t,tafuteni lengweji wa kuweka hapo ili isionekane tumeingilia excutive...anna makinda
Rumbesa ya fedha.