Misamiati na Misemo iliyotia fora wiki hii kuhusu Escrow

Kwa mujibu wa matukio yaliyotukia wiki hii hapa nchini, ifuatayo ni misamiati iliyotia fora:

1. FOMULESHENI
2. Majizi
2. Tumbiri
3. Singasinga
4. Mafisadi
5. Ashiki
6............

Mnaweza kuongeza mengine mpaka tupate orodha kamili ya misamiati hiyo.
:israel:

Lusinde Kibajaji hajui Kingereza
 
Hili limetia fora. Hivi maana yake nini nami ikiwezekana nianze kulitumia? Mpaka sasa naogopa kulitumia sijui maana yake! Ajuaye tafadhari.

Hahahahahaaaaa Mpwa kama unashindwa kulitumia basi utakua una ASHKI majinuni sio bure..... Kwa kweli sijui maana halisi. Japo ASHKI ni hamu, Majinuni naskia ni kitu kibaya....
 
Kwa mujibu wa matukio yaliyotukia wiki hii hapa nchini, ifuatayo ni misamiati iliyotia fora:

1. FOMULESHENI
2. Majizi
2. Tumbiri
3. Singasinga
4. Mafisadi
5. Ashiki
6............

Mnaweza kuongeza mengine mpaka tupate orodha kamili ya misamiati hiyo.
:israel:

Rumbesa ya fedha.
 
Back
Top Bottom