Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 565
- 526
Hatari Wana jukwaa
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu.
Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu.
Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app hiyo.
Ninaomba msaada wenu tafadhali