heretostay
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 116
- 136
Alikuwa na watoto USMtu yeyote bachelor mirathi yake huwa inaisha kwa amani.
Le mutuz alikuwa hana mke. Hivyo familia yake imegawana kwa aman.
Ni kama Ruge mutahaba vile hakuwa na mke na yeye mirathi yake imegawanywa kwa amani.
Ila kama Le mutuz angekuwa ameoa leo hii kungekuwa na vita kubwa kugombea vijumba vyake vya kinyerezi na kule kwingine
Alikuwa na watoto US
Ndo maana kuna siku nilikutana nae mlimani city akanitolea macho balaaa anasubiri nishobokee "jamani lembebez π " kumbe mie tayari nilikuwa nishasikia kazi yake ya kutafutia matajiri mademuHana Nyumba huyo Mimi nilikuwa moja ya watu niliokuwa namtumia kunitafutia malaya
Alikuwa hana ata msibani aliyempa apartment na gari alisema, hiyo ya kinyerezi ipo ukweni na walikuwa wanajenga pamoja na mkewe wakiwa marekani na walipoachana kila kitu kiliishia hapo hapoAlikuwa na nyumba kinyerezi na Mbweni mkuu pia.
Inawezekana alikutolea macho kwasababu ya urembo wako tu hakuwaza kukuuza.Ndo maana kuna siku nilikutana nae mlimani city akanitolea macho balaaa anasubiri nishobokee "jamani lembebez π " kumbe mie tayari nilikuwa nishasikia kazi yake ya kutafutia matajiri mademu
Basi na wewe mkuu ni kisu hasaππ.Ndo maana kuna siku nilikutana nae mlimani city akanitolea macho balaaa anasubiri nishobokee "jamani lembebez π " kumbe mie tayari nilikuwa nishasikia kazi yake ya kutafutia matajiri mademu
Hapana wengine walikuwa wananiangalia kawaida tuu ila yeye aliniangalia sana ni kama alikuwa anategemea niende kumsalimia si unajua vile watu hu react wakiona watu maarufuInawezekana alikutolea macho kwasababu ya urembo wako tu hakuwaza kukuuza.
Nipo kawaida tuu sina chura, ila nikijipiga msasa vizuri π ni moto wa kuotea mbali ππ½Basi na wewe mkuu ni kisu hasaππ.
Kadamnasi yote ya Mlimani city mtu aanze kukusorolea, basi una mvuto na ni mkali kishenzi.
Nitangulize hongera.
Hana Nyumba huyo Mimi nilikuwa moja ya watu niliokuwa namtumia kunitafutia malaya
πππNipo kawaida tuu sina chura, ila nikijipiga msasa vizuri π ni moto wa kuotea mbali ππ½
Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu unaweza kupishana na mtu asikuzingatie ila mtu mwingine akikuona umakini wote unahamia kwako hali huwa ipo hivyoHapana wengine walikuwa wananiangalia kawaida tuu ila yeye aliniangalia sana ni kama alikuwa anategemea niende kumsalimia si unajua vile watu hu react wakiona watu maarufu
Zigawanywe kwa nani wakati Le Mutuz hakuwa na mke wala watoto mkuu?Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari
HahahahahahhSiku babu anakatika watauana na wale Wapare.
Heavy breakfast in 5 star hotel u know!Sasa kulikuwa na nini cha kugawa? Nyumba ya msajili, Noah old model ilishajichokea, Online Tv sidhani kama ilikuwa ina substantial revenue.
Labda ile mishati mikubwa, kanzu moja nyeupe, nyaya puza lake na ile chain ya English gold.
Le Mutuz alikuwa tajiri wa nafsi (aliridhika na kuwa na marafiki matajiri) sio tajiri wa mali.
πππMwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari
Dada @mrspablo mambo π€π€Ndo maana kuna siku nilikutana nae mlimani city akanitolea macho balaaa anasubiri nishobokee "jamani lembebez π " kumbe mie tayari nilikuwa nishasikia kazi yake ya kutafutia matajiri mademu