Elimu ya Tanzania ni Useless.
Kila mtu njaa kali, kwanzia mwalimu wa chekechea hadi profesa wa chuo.
Professor wanafundisha vyuo vitano kwa wakati mmoja ? Kumbe tuna uhaba wa professors hivi ? Ni mkoa gani huo Mkuu vyuo vitano vipo karibu hadi professor akafundishe kote. Lazima wana pesa sana
Tena sio njaa tu, Njaa kali.Profesa ana njaa?. Basi hakuna mwenye ahueni. Shida tunaongea out of emotions. Siku ukifikia ngazi ya uprof hautaongea hivyo
Document yoyote ikiwa kwa karatasi ni mfano wa kitini.Miaka hii vyuo kuna vitini
Wewe ni Professor?Duuhh huu mshahara wa Tangu lini?
Acha dharau1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
Chuo... notice kwa makaratasi ...!!Document yoyote ikiwa kwa karatasi ni mfano wa kitini.
Notes zikiwa kwenye makaratasi ni vitini hivyo.
Kwani ni kosa ?Halafu Maprofesa wengi wa bongo wameungaunga elimu zao ndio maana wengine hawaeleweki.
Wengine walianzia kuwa Walimu wa Sekondari, imagine?!
Wakaungaunga weee hivyo hivyo mpaka kuwa Walimu wa vyuo.
Hao maprofesa 66 ni USELESS kwa Taifa.Shida hamuujui uprofesa. Kila mtu anaongea ya kwake ilimradi kuonesha uprofesa hauna maana. Mpaka ufike uprofesa sio kazi rahisi, ndio maana kwa Sasa Tanzania maprofesa hawazidi 66 ( full professor).
Sasa wewe unafanya reference ya professor wa Mwalimu JK Nyerere University pale Kivukoni halafu unataka kumlinganisha ma Prof wa SUA?nafikili you are just being sarcastic, Mkuu wa wilaya mwenyewe hali 10m ije kuwa lecturer (mwalimu aliyechangamka) milioni kumi (kwa heshima yake nimeamua kuiandika kwa maneno) ki bongo bongo ni pesa ndefu sana wanaoila ni watu wazito hasa na daily routine zao hazina pilikapilika mara kuwahi kipindi, mara kusahihisha mitihani yani wanaipata kilaini sana unless ni engineers
Ulitaka wamiliki nini ?Sasa we jiulize mtu kama lipumba, kabudi, mkumbo, tibaijuka, ...... just imagine wote ni weupe kichwani wana ubunifu gani ..... eti profesa una miliki sheli
Hao maprofesa 66 ni USELESS kwa Taifa.
Hakuna mchango wao wowote au tafiti zao zilizo saidia Taifa.
Ni dana dana tu na tafiti uchwara.
Mimi ni Mwalimu wakoWewe ni Professor?
Huna unachojua mkuu! Kuna maprof pale SUA wanapiga kazi za hatari sana! Miradi yao ni ya madolali tu!Hao maprofesa 66 ni USELESS kwa Taifa.
Hakuna mchango wao wowote au tafiti zao zilizo saidia Taifa.
Ni dana dana tu na tafiti uchwara.
Wa Kivukoni University au DUCE?Mimi ni Mwalimu wako
Babro JohansonSHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Naomba nieleze Tafiti za maprofesa wa Tanzania zilizo saidia mabadiliko makubwa katika nyanja za kimaisha ya watanzania kiujumla.Huna unachojua mkuu! Kuna maprof pale SUA wanapiga kazi za hatari sana! Miradi yao ni ya madolali tu!