Miradi ya Maprofesa wa Bongo

Hivi ukuwa profisa ndo kujua kila kitu?,

Hapana, unakuwa umebobea kwenye eneo Fulani la taaluma yako. Kuna vigezo vya kupewa uprof. Vingi Sana ndio maana Tanzania mpaka muda huu full professors ni 66 tu.
 

Tatizo kubwa sana tuko nalo sisi watanzania, unaanza kuandika vitu ambavyo wewe mwenyewe umehadithiwa.

But kwa taarifa yako most of hawa watu unaowaandika hapa ni consultants na wanapiga fedha nyingi sana huku.
 
Ndio maana biashara zinawashinda. Waendelee kuishi kwa hiyo mishahara

Biashara ipi? Usiongee tu kwa kuongea. Nitajie kati ya hao Maprofesa 66 nani kashindwa biashara. Tatizo lenu mnataka kila mtu awe mfanya biashara. Ila Maprofesa wanaohangaika muhimbili kuweka figo au pale cancer institute hamuwaoni. Tuache uongo.
 
Huna unalojua wewe,

Nenda hapo udsm profesa Hadi anastaafu Hana hata nyumba na wanataka kuongezewa contract. Usipate tabu Nenda hapo udsm.



Kuhusu biashara kama huamini Kuna biashara zinaingiza profit margin ya milion 70 Kwa mwezi Bado wewe ni mtoto mdogo kujua haya
 
Achana na huyo mjinga Hana analojua.


Mtu kama Mapembelo au Simba wa Bahari Kwa cargo anayofunga Kwa mwezi eti akose milion 70.


Huu si ukichaa
 
Sasa milion 6 Kwa mwaka si milion 72.


Kuna wafanyabiashara hiyo Hela ni ya mwezi tu.

Sio kweli, hiyo millioni SITA anapokea senior lecturer sio prof. Prof anapesa nyingi zaidi. Na ujue Maprofesa wamegawanyika, Kuna Associate na full professors
 
Acha uongo mkuu, Hakuna mshahara wa hivyo kwa Prof hapa bongo

Nadhani anaongelea mapato yote sio mshahara. Kuna maproff wanafundisha vyuo zaidi ya kimoja. So inawezekana.
 

Una uhakika na unachosema? Unajua process za kufanya symposium kwenye chuo kikuu?. Kuna procedures nyingi na Wala hazimhusu VC wa chuo
 
Dogo ni mpuuzi anaongea asichokijua! Hakuna mtu anapiga life kama ma professor. Tena hata huo mshahara uliomtajia ni wa lecturer wa kawaida senior lecturers wako 10m na kuendelea!
Duuhh huu mshahara wa Tangu lini?
 

Acha kuharibu reputation za watu Bure. Professor gani alistaafu UDSM Hana hata nyumba?. Uzuri Maprofesa wenyewe wachache, maana Kama kustaafu Ina maana alikuwa full profesa ambao kwa Sasa kwa idadi ni 66 kwa mujibu wa serikali. Tuache speculations na kushishia hadhi uprofesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…