Miraa/ Mirungi/ Khart/Gomba inauzwa wapi hapa Dar?

Status
Not open for further replies.
nimekaa nairobi kule miraa inauzwa kila kona kwenye viosk na ni wazi govt haina tatizo nayo. Sasa hapa tz nasikia huuzwa kwa kufichwa fichwa, nauliza hapa dar inauzwa wapi?? Mwenye kujua anieleze plz. kuna jamaa yangu amekuja kunitembelea sasa yeye bila veve siku haiendi....
Mkuu kama unataka gomba, gomba gold, miraa ama kangeta pale mitaa ya Ismail hotel, ama ukizunguka kariakoo huwezi kukosa. Ila angalia handas ya gomba esp. gomba la Arusha/Namanga
Bongo miraa haiuzwi in the open lakini iko sana
 
Nilikuwa napita tu nikavutiwa na swali: Kwani ni moja ya mambo niliyowahi kuyatafakari siku za nyuma. Nashukuru kuwa amepata majibu kwani kwa bahati mbaya siko Dar na hivyo siwezi kumjulisha wanapouza kwa Dar. Ili nisianzishe thread nyingine niunge hapa " inakuwaje watu wanagizia mahali miraa inapouzwa wakati hii ni moja ya madawa ya kulevya kwa Tanzania?"
hii imekaaje?
 
eboo

kwanza we vipi unadhani uko Kenya hapa? chunga sana haya mavitu hapana uza hazarani hapa Bongo sio kule Narobi kwa baba Moi. Pili, hujasikia kwamba, miraa ina madhara? ndoa za watu zinavunjika kila siku kwani nasikia anayekula sana mirungi anakuwa hana hamu na masuala ya unyumba, meno yanaoza, hana hamu ya chakula na matatizo mengi chungu nzima bila kusahau uwezekano wa kuchanganyikiwa
Nakushauri mshauri huyu jamaa yako acheni na hiyo makitu, joo

Hebu tuorodheshee na madhara ya Pombe mkuu! Bila kusahau Sigara!
 
meza kg YA GIZA PIGA SUPU NA CHAPATI BAADA YA KUTEMA KAMA 3 utat**ba ni raha baada ya full handas
 
pita karume ingia mitaa ya ilala mazingira na wingi wa wasomali unaweza kuhisi upo mogadishu hapo utaipata bei chee
 
Nairobi miraa tunaiita shamba, miti ama veve, mimi mraibu... hapo juu kuna jamaa anasema inapunguza hamu ya mkee/ nguvu za kiume, sikubaliani naye kwani mimi nime tumia miraa toka nikiwa kijana (when I was around 19) hadi sasa, nina bibi wawili na kila nikitema takhsin, mdaa wa saa tisa ama saa kumi asubuhi, namvuja mama watoto kiuno. Its one of the best ways to relax. Jambo lingine lililonifanya nipendee hii kitu sana ni kuwa naweza shika udhu nikitema na niingie msikitini kama kawaida, Arusha inapatikana ki rahisi sana. Wish the Tanzania Goverment would legalise it, mandhari ya Tz na veve inabamba mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom