Miraa/ Mirungi/ Khart/Gomba inauzwa wapi hapa Dar?

Status
Not open for further replies.

YoungCorporate

JF-Expert Member
Apr 30, 2010
391
113
Nimekaa Nairobi, kule miraa inauzwa kila kona kwenye viosk na ni wazi Government haina tatizo nayo. Sasa hapa Tanzania nasikia huuzwa kwa kufichwa fichwa!

Nauliza hapa Dar inauzwa wapi? Mwenye kujua anieleze plz. Kuna jamaa yangu amekuja kunitembelea sasa yeye bila veve siku haiendi..
 
Kweli kabisa nairobi n almost every part of kenya.mwenyewe 2 hapa nashikisha imenibamba kinoma.
 
Njoo na huyo jamaa yako leo traveltine kwenye uzinduzi wa album ya jahazi, kwa Tanzania mirungi ni ruhusa kwenye taarabu tu.
 
Specific?

Hint: Kuna Hotel moja inaendeshwa na Mtanzania mwenye asili ya Somalia

shukrani mkuu japo bado sijajua hiyo hotel nitajaribu kuulizia mitaa hiyo....unajua jamaa ni vegeterian kwa hiyo anapenda sana yale majani
 
Mbona rahisi sana nenda pale wizara ya mambo ya ndani na polisi senta mapokezi we uliza watakupati tena kipimocha kikubwa tofauti na huko kenya
 
we jamaa sjui vp! unaulizia veve hadharani? kweli hamnazo teh teh!...Hapa bongo hiyo makitu ni marufuku kama bange. Ila bei yake ategemee juu kidogo, nadhana 18-20K kwa kilo! Uliza wenyeji, kuna maeneo maalum gomba lnapatkana-utakuta wakongwe wanachanja na kusaga kama kawaida! teh teh FULL HANDAS!
 
nimekaa nairobi kule miraa inauzwa kila kona kwenye viosk na ni wazi govt haina tatizo nayo. Sasa hapa tz nasikia huuzwa kwa kufichwa fichwa, nauliza hapa dar inauzwa wapi?? Mwenye kujua anieleze plz. kuna jamaa yangu amekuja kunitembelea sasa yeye bila veve siku haiendi....

Wewe na huyo jamaa yako jela inawaita Easter hii!
 
we jamaa sjui vp! unaulizia veve hadharani? kweli hamnazo teh teh!...Hapa bongo hiyo makitu ni marufuku kama bange. Ila bei yake ategemee juu kidogo, nadhana 18-20K kwa kilo! Uliza wenyeji, kuna maeneo maalum gomba lnapatkana-utakuta wakongwe wanachanja na kusaga kama kawaida! teh teh FULL HANDAS!

hahaahah jombaa si unajua kuandasika kunahusika sana....mpaka sasa sijafanikiwa kupata nimeambiwa na wahusika kuwa leo veve haijaingia.....alafu ni ghali sio kama naii ati kilo ni 40k leo ikipatikana...
 
Kuna Jamaa mmoja hapo Dar anaitwa Kamanda Kova, mtafute atakusaidia zaidi... We mwambie tu umeagizwa na TANMO, atakuelewa...
 
eboo

kwanza we vipi unadhani uko Kenya hapa? chunga sana haya mavitu hapana uza hazarani hapa Bongo sio kule Narobi kwa baba Moi. Pili, hujasikia kwamba, miraa ina madhara? ndoa za watu zinavunjika kila siku kwani nasikia anayekula sana mirungi anakuwa hana hamu na masuala ya unyumba, meno yanaoza, hana hamu ya chakula na matatizo mengi chungu nzima bila kusahau uwezekano wa kuchanganyikiwa
Nakushauri mshauri huyu jamaa yako acheni na hiyo makitu, joo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom