Miraa/ Mirungi/ Khart/Gomba inauzwa wapi hapa Dar?

Status
Not open for further replies.
Full handasi, kangeta is best 1536625_716231475063471_425632603_n.jpg
 
wewe hiyo inayopatikana kiandiko ni ya low grade aka RUNGU NA HAIDARU KUTOKA KOROGWE, WEWE HATA UKIWA USALAMA NI PM NITAKUPA KITU FRESH KUTOKA NAIROBI OR MOMBASA MZIGO UMESHAFIKA MUDA MREFU SANA WATU TUNA VEVEKA TU
 
Wewe ndio unajua miraa mkuu
 
Mie hiyo stimu huwa siipati maana nikitafuna usingizi unakata haswa ile ya 'vijiti' majani yanajaza sana mdomo ha ha Nairobiiii iiii raha sana wanaweka ganda la mgomba dukani unajua tu kitu kipo ndani nje nje hakuna 'Karao' wa kukukamata ila Bongo jaribu uone moto wake
 
Nenda "al-uruba" pale kkoo utakutana na wasomali wengi, na mitaa ya "gold plaza" ukiuliza tu wanakupatia fasta.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom