AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
nyuma ya kituo cha polisi ubungo. Kwa MANKA.
Nimepita mitaa hiyo hakuna miraa
nyuma ya kituo cha polisi ubungo. Kwa MANKA.
we jamaa sjui vp! unaulizia veve hadharani? kweli hamnazo teh teh!...Hapa bongo hiyo makitu ni marufuku kama bange. Ila bei yake ategemee juu kidogo, nadhana 18-20K kwa kilo! Uliza wenyeji, kuna maeneo maalum gomba lnapatkana-utakuta wakongwe wanachanja na kusaga kama kawaida! teh teh FULL HANDAS!