lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
Ipo haja waziri kivuli bungeni naye awe anaenda kwenye conference kama hizi kwa ufadhili wa chama chake, ili atuletee data kamili ( hata kama ni kutuma mwakilishi itasaidia kuwaumbua zaidi hawa viongozi).
hapo umenena mkuu, hawa jamaa sio watu wa kuaminika tena, vichwa vyao haifikirii nchi kabisa!!