Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
Mkao huu unaonyesha wazi kabisa ni conference ya kawaida ambayo hata wahudhuriaji wake si mawarais au mawaziri bali executives wa taasisi, na sitoshangaa kuwa they are not even senior executives. Ingekuwa ni marais ingekuwa Summit na mkao wake usingekuwa wa namna hii kama vile watu wanavunja kamati ya harusi.
Nimejaribu kumwangalia Ngereja strait kati ya ngereja na jamaa aliye kushoto kwake kuna mzungu kama vile anamwangalia JK, sijui jamaa anawaza nini, kumwona rais wa nchi kubwa kama TZ eti anahudhuria kikongamano cha junior officers kama hicho. Jk is not even there, hicho kitabu anachosoma ........ni kama hakihusiani na mkutano huo maana hakuna mwingine aliyeshikilia kitabu kama hicho.
Analysis yako imetulia sana! Big UP. Why should the two be there anyway? Kazi tunayo Wa-TZ kuna mambo kibao ya kuaddress hapo home lakini awahusika busy na safari.