Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

Kiranga
 
Hizi research question zinalenga kujibu swali lipi la msingi?
1. Descriptive
2. Explorative
3. Inference
4. Predictive
Weka nuru zaidi kwenye hojaji, pengine itatuongoza kujadili
 
Kuilaumu Imani, kuikashifu Imani, kuidhihaki Imani ni kukwepa msingi mmoja mkubwa wa hii phenomenon inaitwa mwanadamu. Imani ni sehemu muhimu mno ku-study mwanadamu. Vema kuitazama kwa umuhimu kabla ya kuhitimisha kwa kuidogodesha
 
Je katika UMiMi (wewe) wangu ni katika umoja au wingi?

Umetoa jibu pana mno ambapo linaibua hoja zaidi
Jibu lake limejitosheleza

Identity yako ni yale yanayopatina katika nafsi yako yale ambayo wengine hawayaoni lakini yapo ndani na wewe ndiyo unajua

Viungo vyako vinaonekana vya nje vinaonekana kuwa wewe ni mzuri wewe ni mweupe wewe ni mweusi wewe ni mrefu hiyo ni identity ya nje lakini jamiii ikikuuliza wewe ni nani ni swali la kiufahamu tu kuwa ni utambulisho wa nafsi na tukifa kinachoondoka ni nafsi mwili unaoza


Na ndiyo maana wachawi wanaweza kuichukua nafsi yako na wakaacha kiwiliwili tu chako, umeshasikia mtu anasema huyu banah kimebaki kiwiliwili chake tu walishamchukua siku nyingi ni hatari sana mchawi akikufanyia hivyo maana unakua huna ufahamu kamili
 
Yani elimu yote niliyo kupa na logic ujaelewa kweli wewe ni zuzu ....sayansi inakuja kutokea chini hivyo uwezi kisayansi kusema hakuna kitu fulani kwa sababu sayansi bado aijakigundua ...kuna vitu vipo ila bado avijagunduliwa na sayansi...kimoja wapo ni mungu ila kwa sasa sayansi imeanza kugundua kuwa kuna dalili za mungu ...tatizo lako wewe upo katika akili mgando ujui sayansi imefikia wapi kwenye kutambua uwepo wa mungu
 
Sayansi gani imethibitisha kuwa hakuna mungu nitajie ni sayansi gani ..pia nitsjie vipi vitu vimejiumba vyenyewe kwa akili kubwa ...je wanasayansi wako wakienda sayari za mbali wakagundua kuwa kuna simu ya mkononi kwenye hiyo sayari unadhani watasema ni nature imeumba simu ya mkononi kwa bahati tu
 
Mbona wana sayansi wana sema kuna black hole na awajui ni kitu gani hicho ....wao wanaijua black hole kwa athari zake tu ila awajui ni nini ? Pia mungu tunaweza kumjua kwa athari zake mfano vitu vimeumbika kwa akili ya hali ya juu sana na mpangilio mkuu mno sasa kisayansi ni lazima kuna kitu chenye akili sana kilicho fanya huo uumbaji wa vitu na kitu hicho ndiyo mungu
 
We kilaza sio kazi ya sayansi kusema kitu fulani hakipo ulimwengu au kipo
Kazi ya sayansi ni kushughulika na vitu vilivyopo..... sayansi ikibaini kitu ndio inakichakata

Ili sayansi ishughulike na huyo Mungu wako kwanza inatakiwa zipatikane data zake(awepo) kisha sayansi itachaka na kuja na matokeo
Data za Mungu kisayansi HAZIPO zaidi ya scriptures za imani tofauti

Sayansi haisemi kama Mungu yupo au hayupo kwasababu hayupo kwenye kanuni za kisayansi kuchakatwa

Hili lina ugumu kwako kuelewa mkuu?
 
Kama ni hivyo ugunduzi mpya unapatikana vipi na mahabara za ugunduzi mbalimbali zipo kwa kazi gani
 
Mleta Mada unaonekana unakitu /somo unajua hivyo unataka kutushirikisha lkn njia unayotumia kuzunguka inatuchosha.
Naomba tafakari kisha fanya maamuzi utayoona sahihi
Rudi upya
Asantee
 
Mkuu hiyo sio tafsiri ya IMANI

Hiyo ni aya kutoka kitabu kinachoitwa Bibilia “maneno matakatifu ya Mungu”
Waebrania 1:11

Nenda kwenye kamusi au dictionary ya Oxford upate tafsiri sahihi ya IMANI
Mkuu

Wewe ulichoshindwa kuelewa kwenye hiyo maana hata useme hiyo maana ya imani niliyoitoa, ni neno: "Kusadiki" au "Sadiki".

Sasa, naomba ufafanue neno: Sadiki au Kusadiki.
 
Hizi research question zinalenga kujibu swali lipi la msingi?
1. Descriptive
2. Explorative
3. Inference
4. Predictive
Weka nuru zaidi kwenye hojaji, pengine itatuongoza kujadili
None of your inscriptions.

Lengo ni utambuzi, Knowledge for/ of humanity
 
Kingdom: Animalia

Phylum: Chordata

Class: Mammalia

Order: Primates

Family: Hominidae

Genus: Homo

Species: Sapiens


Wewe ni binadamu, mnyama mwenye akili kuliko wote
 
Ni wewe

Au tuseme ubongo wako
 
Kama ni hivyo ugunduzi mpya unapatikana vipi na mahabara za ugunduzi mbalimbali zipo kwa kazi gani
Mkuu unanichosha sana kiukweli una reasoning ndogo sana

Nimekwambia hivi sayansi ni kukusanya data, kuzichakata na kuja na matokeo
Huko maabara hawagundui vitu FROM NOTHING(like your god)
Kule mahabara kwanza kunakuwa na data zinachakatwa na sio kuna NOTHING inayochakatwa, halafu ndio yanafuata matokeo(gunduzi)

You God is NOTHING.... hawezi kuchakatwa na sayansi
 
Mkuu

Wewe ulichoshindwa kuelewa kwenye hiyo maana hata useme hiyo maana ya imani niliyoitoa, ni neno: "Kusadiki" au "Sadiki".

Sasa, naomba ufafanue neno: Sadiki au Kusadiki.
Mkuu tusirembe sana tafsri ya maneno, ili tusiwe bias hebu turejee kwenye kamusi HURU
👇👇
 

Attachments

  • 374CC9C0-18A4-410D-B39A-2CD161317869.jpeg
    89.9 KB · Views: 6
Duuuh
 
Samahi bro nataka kuuliza tu

Kwani kitugani kisayansi hakiwezekani
Vipi kuhusu hekaya ya bing bang?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…