nani na

Nani Alapai (December 1, 1874 – October 1, 1928) was a Hawaiian soprano singer of Native Hawaiian and Filipino descent during the early 1900s. Despite not receiving any formal musical training, she was hired as a vocalist of the Royal Hawaiian Band by bandmaster Henri Berger. She became the leading prima donna of the early era of Hawaiian music through her traveling performances with the Royal Hawaiian Band in Hawaii and on the mainland United States. Recording a number of songs, she helped popularized "Aloha ʻOe" by Queen Liliʻuokalani with one of the earliest recordings of the song. She directly and indirectly influenced many later Hawaiian musicians including Lena Machado and her adoptive grandson Kahauanu Lake.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Malecela: Hili la maridhiano sijalielewa

    Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi. Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
  2. passioner255

    JamiiForums Tanzania Maridhiano hayo mnayoyaandaa ni kati ya nani na nani?

    Kama maridhiano yatakuwa kati ya nyie vyama vya siasa basi mfahamu mtafanya kazi bure.Maridhiano ya kweli ni kushugulikia mambo ambayo wananchi wanayataka kama kukomesha ufisadi,uongozi bora,kukomesha utekaji na kurudishwa waliotekwa,kuwajibishwa kwa wauaji Nk...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

    Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu Vp kuhusu haya maingizo...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ilianzishwa na nani na ni kwa maslahi ya nani?

    Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani? Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar? Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd Lakini wao wanasema mpaka kesho Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho. Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani...
  5. Lighton

    JamiiForums Tanzania Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

    Nimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote inayoendelea Duniani hivi Sasa. Nimedig kidogo kwenye baadhi ya vyanzo, nikafaham kwamba chanzo Cha...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi maridhiano yatakuwa kati ya nani na nani?

    1. Je kati ya serikali bandia vs wananchi? 2. Kati ya serikali na waliouliwa ndugu zao? 3. Je kati ya serikali na ndugu wa waliotekwa ? Ikumbukwe ile massacre wakati na baada ya uchaguz; 1. Wameuawa wapinzani 2. Wameuawa wana ccm 3. Wameuawa waandishi 4. Wameuawa in mass raia wa kawaida, 5...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kumtukana mkubwa wako kimoyomoyo? Je, alikuwa nani na alisema au alifanya kitu gani?

    Habari wanabodi Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
  9. 100 others

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari. Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded.. Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
  10. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ni nani na uanaume ni nini?

    Je ni vitu gani vinaashiria uanaume na ni vipi vinaharibu uanaume? Kwangu mimi naona mwanaume, pamoja na kua na maumbile ya kiume, mwanaume anathibit hisia zake na kutumia mantik/ akili yake. A man can set aside his emotions and lust and using his logic/ and intelligence on making decisions...
  11. DexterLab

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewatambua nani na nani?

  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

    Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

    Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata...
  14. Faana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu lady soloist ni nani na anatokea nchi gani?

    Msikiliziseni na kumtazama msimsumbue
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

    Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini? Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa. Ni mingi...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Naambiwa mwenye jengo lililoporomoka Kariakoo ni Kigogo, Je nani na kwanini mpaka sasa hajatajwa?

    Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo? Naambiwa na mtu mzito (kigogo) Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu? Ni wakati muafaka sasa wa kumjua
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  19. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Peodoh Pacome Zozuzoua kiungo mshambuliaji wa klabu bingwa ya soka Young Africans

    PACOME NI NANI, AMETOKEA WAPI, NA ANA SIFA ZIPI ZINAZOMFANYA KIWIKA KATIKA SOKA LA TANZANIA Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO Peodoh Pacome Zozuzoua kiungo mshambuliaji wa klabu bingwa ya soka Young African ( YANGA ) amezaliwa katika mji wa Abidjan Autonomous pale Cote D Ivore ( Ivory...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ikitokea kenya wakachoma mabank zikiwemo pesa hasara inakuwa ya nani na nani atalipa?

    Hili swali nimejiuliza sana mana wanakoelekea wanaweza kucoma.mabank.
Back
Top Bottom