Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

Nilifanya uchunguzi wangu nikajua amempa mwanamke mwingine mimba,
Nilipo muuliza alikataa,mwishowe akaja kunifahamisha kuwa he's getting married and he's so sorry about everything!

i think i know you
 
Experience nyingine ngumu kumesa.....but kwa vyovyote vile Naomba Mary huko uliko Nisamehe, haikua lengo langu. Nisamehe sana. Zile ndoto zetu za kuwa pamoja na familia nzuri, tuzae na watoto ziliishia pale Mlimani, japo sitaki kukumbuka kipindi Kile lakini na LAZIMIKA kufanya hivyo kwa sasa. Si kwamba sikukupenda, hapana! Nilikupenda lakini yaliyotokea ni hadithi ndefu, kila nikikumbuka zile Jumapili na weekends nyingine ambazo ilikua unakuja tunashinda room pale Hall Six kamwe sitazisahau. Una ukumbuka Usiku ule tulipokua kwenye tamasha pale Chapel???? Ninaumia sana nililazimika kukuacha japo roho inaniuma bado. Ikweli ni kwamba HAKUNA AWALI MBOVU. Nakukumbuka Mary na ninaomba nisamehe
 
::
Mi ndo sielewi niliacha au niliachwa! Basi niseme tuliachana
=
 
wa A-levo aliniacha kisa sikumpaga papuchi kila siku nilimwambia asubiri! akaamua kumchukua duu mwingne ambae alikua anajilengesha kwake naye akalenga kikwelikweli! aliefuata aliniacha baada ya mim kuchaguliwa chuo mbali nayeye! 1st yr nlipoenda kuripot chuon nyuma akavuta duu mwingne mchaga. huyo dada anamnyanyasa sana yani wote wana kazi bt kila kitu anahudumia yey mpaka anafkiaga hatua ya kukopa hela toka kwang wakat mkewe nae ana kazi! thnks God nlimaliza chuo salama nikapata kazi+ mchumba tajiri!
 
kuna jamaa yangu aliachwa kwa maneno haya "nilikuwa natafuta faraja kwako, tumeshamaliza tofauti zetu na ex-boyfriend so kuanzia leo tusijuane" alichezea sana hisia za mshikaji
 
"leo home inasomwa barua yangu ya posa" nilikuwa natafuta namna ya kukuaga! Mimi hoi!

duuuuuh!!!

kupendwa ndio nini, kupendwa kuthaminiwa...

kupendwa ndio nini, kupendwa kuheshimiwa...
 
Usiku ilikuwa ni msg za diha, hani mai habi asubuhi kulipokucha yapata saa sita mara msg inaingia '' it's over between me and you" nilichoka college ikawa chukua siku hiyo
Option1
Nikamtafuta Rafiki yake nikajilizaliza Pale na kwakuwa ananinijua mimi ni mtu Poa akanishauri meng mpaka akanionea huruma mpaka leo ni 2yrs Niponaye. Mwenyewe alivyogundua nachomoka na Rafiki yake wivu na kunipaka ulaya unaanza mara ooooh mwanaume anapenda kubembelezwa hauwezi kudumu mara ooooh mwanaume anawivu sana mara zikawa kibao................ Continued
 
You ar not over him bado. You should never hate your ex unless you still love him. Unataliwa umhurumie kwa kukukosa.

namhurumia alafu namuombea mungu amuepushe na mibalaa ila for sure nimechukizwa na kitendo alichonifanyia but all in all nafikiri i still love him ndio maana namchukia upo sahihi king'asti
 
mine is a long story i cant tell maana huyo mshenzi alie ni mwaga he is also a jf member ipo siku ntamtolea uzi atoe macho humu

amekumwaga mmwage hadharan mpwa
wapo watu wanachezea maisha ya watu sana imeika wakati mungu kuingilia kati afadhali nyie uchumbani m nilingia chaka mpaka kwenye ndoa

nikakimbia ndani ya mwezi mmoj
baada ya wiki ya ndoa niliulizwa tuweke vitu mezani tuandke mr n mrs

niliposhauri na kwake akadai hana hata mkeka nkamwambia basi tutawandkia watoto

akanza kutoka jion na gari yangu anarud sa sita !!!naongea kwa uchungu
mbaya anarud amelewa cikuwah kumwona anakunywa 2yrs ya urafiki

alipoaribu siku moja niko airport nasubiri kutoka ananfwata mtu kaka mkeo anasafir hata kumuaga nkamwambia umemfananisha

kufika counter za swiss namwona anapanga begi kwenye scale asbh tumeagana poa kabisa kumbe ana visa ya shengena cku nyingia wapendwa ndoa nh

cikumfwata zaidi aliporudi baada ya wiki 2 nkachapa lapa nahapo ilikuwa mwisho wa maisha yetu akaenda mahakaman kuomba talaka akapewa

leo ninafamilia bora nimeoa tena na watoto wazur

maombi yangu mungu amempa mume mwema waishi kwa aman
ukimwagwa usimwombe mabaya mwombee mema kila jambo linamakusui ya mungu
 
Dah...kweli binadamu hawana wema...pole sanaa kwa maumivu yaliyokufika
 
Usiku ilikuwa ni msg za diha, hani mai habi asubuhi kulipokucha yapata saa sita mara msg inaingia '' it's over between me and you" nilichoka college ikawa chukua siku hiyo
Option1
Nikamtafuta Rafiki yake nikajilizaliza Pale na kwakuwa ananinijua mimi ni mtu Poa akanishauri meng mpaka akanionea huruma mpaka leo ni 2yrs Niponaye. Mwenyewe alivyogundua nachomoka na Rafiki yake wivu na kunipaka ulaya unaanza mara ooooh mwanaume anapenda kubembelezwa hauwezi kudumu mara ooooh mwanaume anawivu sana mara zikawa kibao................ Continued

mbona unamaneno ya kimbea sana kwani wewe ni mliberali?
 
Back
Top Bottom