nawe ni bikra kwani?
Jamani...smh!!!Nilifanya uchunguzi wangu nikajua amempa mwanamke mwingine mimba,
Nilipo muuliza alikataa,mwishowe akaja kunifahamisha kuwa he's getting married and he's so sorry about everything!
mmh.nakumbuka nliachwa kisa rafk yangu.aliniacha kstaarabu tu akanvuta sehemu akanambia B cute naomba tuishie hapa kwa mahusiano yetu.nlkubal coz hata hakunidnya na kpnd hcho hata ckuwa na smu.so skuumia.bt nkaambiwa anadate na rafk yangu,hata skuwachukia coz huyo rafk yangu namjua.wakadinyana mara kbao wakafumwa na watu.lakn mwanzon mwa 2010 to12 akawa ananiomba msamha nlmkubali.nkamzoesha kumjal kwa sana,smu na sms kla dakka yaan full malovee wthn 2 weeks akanogewa.ilkuwa sku ya promise tudnyane kwa mara ya kwanza,nlkwenda as i promise him bt alvoanza kupandsha mzuka nkamwambia F handsome boy listen to me very careful,mapenz yetu leo yamefka mwsho...i get no feelings upon u.tuktoka hapa aint ur girl...alilia sana saana lakn mtoto wa kke nliamua.yote hii kumpa funzo unaposhkwa,jshklie...
pole sana, mi sijawahi kuwa na mpenzi....
Jamani...smh!!!
Ukija kupenda tena unakuwa na mapenzi ya kuvizia.. No wonder ndoa hazidumu siku hizi, kuoa mtu alopitia kashkash hivi, mapenzi yake hayawi pure!!
mm hata sijawahi kuiona mbunye naionaga tu kwenye vitabu
Ukipata mwingine akakupenda, akakujali, akakupa amani na furahi, kidogo kidogo baada ya muda unaamini na kupenda upya.
Ndio inavyokuwa.
Sharti awe mvumilivu tu.
mmhhh!
Mi niliambiwa we wakusoma utanipa nini kuja gundua amepata kibopa muuza samaki outing za dar nairobi. kwangu kipindi hicho hata buku shidawana - JF, ktk haya mahusiano ya Kimapenzi, ktk kuachwa na wapenzi, nyie mliachwa kwa style gani? Mimi ktk mahusiano kadhaa niliachika hivi:
Kuna mmoja tulipendana sana, yaani sana, huyu nilisoma nae A- level, na kikubwa nilichomvutia ni upstairs, nilikuwa nakimbiza sana ktk combination yng ambayo na yeye, alikuwa anasoma! Tulikuwa boarding school, pamoja na mapenzi ya dhati ambayo nilipendwa na huyu kiumbe, F 5 na 6 sikuwahi kupewa papuchi.
Alikuwa na kauli yake "kuwa na subira J, katika siku ya ajabu, nitakupa vitu vya ajabu" Nilikuja kuachwa siku ya kwanza ya Orientation ya 1st yr kisa nilihoji kwa nini anaambatana na mkaka 1 na kila nikiwakuta wanaongea ki-external (kilugha) Niliambiwa mwanzo na mwisho wako leo kunifuatilia!
Huyu alikuwa wa kitaani Moro, nikiwa chuo DSM, alikuwa akija kuniletea papuchi! aalinipigia simu nirudi moro, kuna shida ya dharula, nikafikia hotel badala ya home. Alikuja kunipa penzi chupu chupu niwehuke! Kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 9, kila nikilala, naamshwa! mpk nikamuuliza ******** una nini leo? mbona si kawaida yako? Asubuhi akaniogesha kwa mara ya kwanza, tusharudisha chumba tunatembea, akanambia "leo home inasomwa barua yangu ya posa" nilikuwa natafuta namna ya kukuaga! Mimi hoi!
Mwenzangu mwana-JF, naomba kupata mbinu zilizotumika wakati unaachwa kwa namna 1 ama nyingine! Kama vp pita kimya kimya!
Nami nakushauri uendelee kuiona kwenye kitabu tu usiombe kukutana nayo live
ina madhara!!!
madhara yapi hayo?? Au inameza??
Unaguna nini
Ndo nakwambia mimi sasa.hahaha,nt that easy,siku ikikutokea ndo utaelewa myb,unakuta we ndo umekoleajee,af ye ndo yulee anaishia..
Aaaa wapi matendo yake yalinifanya nikajenga chuki simpendi hata robo ningekua nampenda ningemrudia
Nilifanya uchunguzi wangu nikajua amempa mwanamke mwingine mimba,
Nilipo muuliza alikataa,mwishowe akaja kunifahamisha kuwa he's getting married and he's so sorry about everything!