Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

Niliachwa kisa nimekosa kumpa hela sh. Elfu arobaini ya Kulipia Sup. Nikaanza kumgegeda shoga yake wa karibu, alivosikia akamaind kinoma sikumjali na nikaendelea kumkoreza shoga yake mpaka tumekuja kumaliza chuo na Mimba hapohapo..... Anajimaindisha simtaki
 
wana - JF, ktk haya mahusiano ya Kimapenzi, ktk kuachwa na wapenzi, nyie mliachwa kwa style gani? Mimi ktk mahusiano kadhaa niliachika hivi:


Kuna mmoja tulipendana sana, yaani sana, huyu nilisoma nae A- level, na kikubwa nilichomvutia ni upstairs, nilikuwa nakimbiza sana ktk combination yng ambayo na yeye, alikuwa anasoma! Tulikuwa boarding school, pamoja na mapenzi ya dhati ambayo nilipendwa na huyu kiumbe, F 5 na 6 sikuwahi kupewa papuchi.


Alikuwa na kauli yake "kuwa na subira J, katika siku ya ajabu, nitakupa vitu vya ajabu" Nilikuja kuachwa siku ya kwanza ya Orientation ya 1st yr kisa nilihoji kwa nini anaambatana na mkaka 1 na kila nikiwakuta wanaongea ki-external (kilugha) Niliambiwa mwanzo na mwisho wako leo kunifuatilia!


Huyu alikuwa wa kitaani Moro, nikiwa chuo DSM, alikuwa akija kuniletea papuchi! aalinipigia simu nirudi moro, kuna shida ya dharula, nikafikia hotel badala ya home. Alikuja kunipa penzi chupu chupu niwehuke! Kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 9, kila nikilala, naamshwa! mpk nikamuuliza ******** una nini leo? mbona si kawaida yako? Asubuhi akaniogesha kwa mara ya kwanza, tusharudisha chumba tunatembea, akanambia "leo home inasomwa barua yangu ya posa" nilikuwa natafuta namna ya kukuaga! Mimi hoi!


Mwenzangu mwana-JF, naomba kupata mbinu zilizotumika wakati unaachwa kwa namna 1 ama nyingine! Kama vp pita kimya kimya!
Niliposoma hiyo ya kwanza nilianza kupatwa na majonzi ila hii ya pili nimecheka sana. Kama ukijaribu kuandika vitabu vya mapenzi utaweza sana coz unauwezo wa kumvuta mtu asome katikati na mwisho -Hiyo ndio siri ya uandishi.

Big up sana.
 
Nimepata kipotabo tunaendana ww mnene sana tukitembea barabarani naona aibu watu wananiuliza ni shangazi yako huyo.
 
jamani huku kuachwa na kuacha
kuna matatizo sana
kwani kunawapa watu stress nyingi sana

Mimi niliachwa kwa mbwembwe sana
na style za kila aina anabadili wanawake
utadhani anabadili nguo pale samora avenue
mpaka leo nikimwona nampotezea na
najifanya hamnazo wala
simshobokei kabisa

aaah,aisee huyu jamaa alidhamiria kufanya yake,,,,,
 
Niliachwa kisa nimekosa kumpa hela sh. Elfu arobaini ya Kulipia Sup. Nikaanza kumgegeda shoga yake wa karibu, alivosikia akamaind kinoma sikumjali na nikaendelea kumkoreza shoga yake mpaka tumekuja kumaliza chuo na Mimba hapohapo..... Anajimaindisha simtaki

nilidhan umemalizia kwa ndoa,aaaaaargh
 
mmh! mimi niliachwa kwa vituko ila nasikitika mpk leo hajapata mtoto! akanitafuta baada ya miaka mingi kupita kuniomba msamaha! akifikiri nilimlaani nikamwambia sikumlaani namuombea apate mtoto! ila nimejifunza kuna Mungu be careful unapomnyanyasa mtu!
 
Sijawahi kuachwa ila nimewahi kuacha. Nadhani inauma sana ila mpaka nikiachwa ndiyo nitasikilizia. Angalizo ni kwamba huenda nisiowe tena na ikanipelekea kuwa mhuni,anyway namwachia Mungu.
 
Niliposoma hiyo ya kwanza nilianza kupatwa na majonzi ila hii ya pili nimecheka sana. Kama ukijaribu kuandika vitabu vya mapenzi utaweza sana coz unauwezo wa kumvuta mtu asome katikati na mwisho -Hiyo ndio siri ya uandishi.

Big up sana.

Nashukuru sana mkuu! hawa viumbe wana vituko sana!
 
Back
Top Bottom