Nakumbuka nilikuwa nasubir majib ya kwenda form five, jamaa alinpenda sana kila wkt tupo pamja mpk job haend ful malovee, bas gafla nkajkuta nina ujauzto, ile kumwambia tu aliwaka hatari, akanitimua akanambia ye ana mke wake anampenda sna, nilihangaika na mimb coz matokeo yalikuwa yametoka nimefaulu ikabd nitoe mimb bila dady kujua, cku nakutana nae stand anashangaa kuona cna mimba af mtoto nimewaka ile mbaya.
c akaanza mara ooh wew ndo mke wangu!! nilimtimua hakuamin. sasa kilchompata, hawez kuzaa tena, na juz tu amezika mwanae kumbe mtot alizaliwa na HIV. so yule mwanaume na mkew wote ni HIV postv, ananiomb msamaha anahc kma nimempa laana coz nlímpenda sna mpk akajua, leo hii anajutia, me mungu kanpa watoto mapacha tena jinsia zote, ye kafukuzwa kaz, ana HIV, hana mtoto tena. Me cmcheki ila namuombea kwa mungu coz kila k2 hutokea kwa sababu. Dunia haina huruma jamani!!!!!