Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

Kuachwa kuachwaaa kuachwa ni SHUGHULI PEVUUUU...mbaya zaidi kwa yule ulompenda wewe una...........basi malizia kawimbo......
Mhhh me nishaacha 2,nkaachwa 2..ngoma draw..
1.alisema LIFE IS A GIGANTIC BOOK with many pages,explore it...uuh nlichoka...
2.Moyo unaniuma,japo nishamuomba msamaha,we r in good terms kiasi chake,nlimwambia 'am js not happy anymore'...skujua km ananpenda hadi after brkup dah,dunia hadaa...
3..hehehhehe KISANGAA,BAD NEWSS..alisepa kimya kimya af alikuwa handsome ajeee ka Van vicker,full intro kwa rafiki zangu,nlidata,KIDOGO LAKINI,am over t now..
4.na me nliishia zangu silently,kaja kunkuta tu sehemu na 'Toleo jipya' akawa speechless mana matunzo zero af alijiona siwezi muacha,....
Uhhh,i hope the next guy is my hubby mana mhh,mambo ya what's ur number siyataki mie

I'm your next Hubby

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sija wahi acha nilioa kipindi cha mwalimu kuacha hakukuwepo.hayo yenu kizazi cha .com
 
Kuachwa kuachwaaa kuachwa ni SHUGHULI PEVUUUU...mbaya zaidi kwa yule ulompenda wewe una...........basi malizia kawimbo......
Mhhh me nishaacha 2,nkaachwa 2..ngoma draw..
1.alisema LIFE IS A GIGANTIC BOOK with many pages,explore it...uuh nlichoka...
2.Moyo unaniuma,japo nishamuomba msamaha,we r in good terms kiasi chake,nlimwambia 'am js not happy anymore'...skujua km ananpenda hadi after brkup dah,dunia hadaa...
3..hehehhehe KISANGAA,BAD NEWSS..alisepa kimya kimya af alikuwa handsome ajeee ka Van vicker,full intro kwa rafiki zangu,nlidata,KIDOGO LAKINI,am over t now..
4.na me nliishia zangu silently,kaja kunkuta tu sehemu na 'Toleo jipya' akawa speechless mana matunzo zero af alijiona siwezi muacha,....
Uhhh,i hope the next guy is my hubby mana mhh,mambo ya what's ur number siyataki mie

Life is a gigantic book explore it?
Duhh!
Yeye ndio author wa hiko kitabu ama?
 
Mimi sijawahi kuachwa,na kama ikitokea nkaachwa basi nitaomba msamaha kwa nguvu zangu zote,msamaha ukikubalika basi kinachofata namwacha baada ya siku tatu hivi.

hahaha,nt that easy,siku ikikutokea ndo utaelewa myb,unakuta we ndo umekoleajee,af ye ndo yulee anaishia..
 
Nilifanya uchunguzi wangu nikajua amempa mwanamke mwingine mimba,
Nilipo muuliza alikataa,mwishowe akaja kunifahamisha kuwa he's getting married and he's so sorry about everything!
 
mmhhh!
 
Dah ya kwanza wengi wamepitia hata kama watabisha,ya pili imeniacha hoi
 
Back
Top Bottom