Mara ya kwanza niliambiwa nisimjue tena na namba anafuta, hakuwa na sababu ya msingi, nikamwambia hewala mama. After three months visalamu vikaanza kwa simu sijui namba aliipata wapi tena! kaja mpaka ofisini. Nikaingia tena, sijui kama ni mzima huyu, akarudia tena, nikamwambia poa, karudi tena vile vile na visalamu. Mara ya tatu nikamwambia pole, hata hamu nae ilishaisha. Kaanza tena namwangalia tu!!! nami nilimlaani hatokuja kumpata ---- kama mimi tena!