hahahaha!hata mimi nimeshangazwa na kauli ya Lema.....pancha ya kawaida ni kubadilisha tairi ni zoezi ambalo halimalizi dk kumi na kuondoka ss nashangaa huo uchelewaji ambao umemfanya hadi ashindwe kufika mkutanoni.....tena ameEnda Dar kabisa. Na bado badala yakumuuliza kulikoni kuna watu wala hawafikirishi akili....!wanasiasa wanatufanya wananchi maboya.
Ni kweli wew unaamini ni pancha ndo imewafanya kushindwa kufika mkuu
Hiyo pacha ulipatia wapi?
Mtu yeyote anayetenda kazi ya Mungu ( ukombozi ) kama ufanyavyo wewe ujue kwamba kila wakati na kila mahali uko salama .Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Pancha wamepatia karibia wanafika Kahama baada ya kuwasiliana na pro-Chadema mkutanoni akaambia hamna watu akaamua kurudi Dar.
Kamanda, Pancha tu ukaahirisha safari? Gari haikuwa na spare tyre!?
"Ukombozi" wa nchi umekuwa lelemama sana!
Kamanda,
Nafikiri kuwa umuhimu wa kuwa na Business Continuity Plan (BCP) katika taasisi yenu. Mmepata pancha mkashindwa kufika Kahama, naamini kuna wananchi huko walikuwa wakiwasubiri kwa hamu but impression mliyoiacha uko wanaweza wakafikiri mmewa-ignore. Kuelekea uchaguzi mkuu mnatakiwa kuwa na BCP, akishindwa Lema au kiongozi yeyote kufika sehemu fulani kwa muda fulani then awepo alternative individual(s) ambaye (w)anaweza kwenda kuonana na hiyo audience kuepuka undesired perception kwa chama. Mngekuwa na spare tire naamini mngechelewa kidogo kufika Kahama, but still mngeweza kuonana na wananchi angalau kwa muda mchache. Ni mtazamo wangu tu.
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
Tatizo mnatumbua tu kwa anasa pesa zinazotolewa na serikali kwa ajili ya service ya magari yenu ya wabunge.
Pamoja na kwamba mmeamua kutumia magari ya walipa kodi kwa kazi zenu za chama, basi angalau myafanyie service. Pesa nyingi tu utolewa kwa ajili hiyo.
Kweli chadema mna watu wa hovyo hovyo kabisa gari ilipata pancha mkachukua MDA MREFU KUREKEBISHA na kwa sasa mko dar
unajua umbali wa kutoka shinyanga Dar + FOLLEN za Dar mmetumia ndege ?kwa kweli wajinga ndo waliwao pole sana kwa kutudanganya kamanda
umekimbia kahama baada ya kupata tetesi kua hatukutak na ungeambulia zomeazomea kilaza wewe,muda mfupi tu umekimbia kurud dar hahahahaha