Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Ili kujiepusha na majanga bora walimu hata msiwe mna wachapa hawa wanafunzi hata kama amekosea, maana hata akifeli maisha si ya kwake, akikua baadae ndio atajua umuhimu wa shule, Jeuri muache na ujeuri wake, haya mnachapa wanafunzi haraf unafukuzwa kazi umepata faidi gani? Maisha yenyewe yalivyo magumu.
Hatuwapigi ili wafaulu, kwa sababu wafaulu wasifaulu sie hawatusaidii chochote
 
Taifa limestushwa kwa kuchapwa
Makofi Mwanafunzi wa Mbeya
Day kuliko vifo vya Watafiti wa
kilimo kule Dodoma kwa
kuchomwa Moto wakidhaniwa
wanyonya damu.

Tukio la Mbeya limesahaulisha swala la Tetemeko la ardhi.

Mtoto mjinga anapaswa kula bakora hadi ujinga umtoke.
Wanasiasa wanapenda distraction, yaani watu wameuwawa dom wanasiasa wote kimya, kazi wanawasupalia waalimu tu, kwa kuwa ni wanyonge
 
Unikabe au unitukane then nikuangalie tu, pigeni kelele sheria ya kutimua shule mitoto mitukutu irahisishwe, ili tuwaletee mkae nayo wenyewe mtuache tupumue.
Sahivi mtoto hafukuzwi shule hadi bodi ya shule ikae wajadili, kwahiyo akikupiga January usubiri hadi bodi ikae November ndo wafanye maamuzi.... Si ujinga huu, heri apate stiki za kiuno akaugulie kwao
 
Kwani huko academy wanakwenda kufundishwa na malaika!? Si ndio sisi sisi tuliofeli? Niliwahi kufundisha academy for 1year, kule raha maana unatimua tu, sasa huku kwa wanasiasa eti tunabembelezana tu, hovyo kweli.
Yanawatoka tu ila laiti wangejua, hivi kuna kada inaongoza kwa kukimbiwa kama hii? Hawajiulizi ni kwa nini?
Tutaelewa na tu mdogo mdogo.
Si ndio wanavyosema kuwa heri waende private?
Asa huko sijui kuna malaika wa kheri wanawafundisha au wanafundishwa na mawaziri wao!
 
Sisi ni kama mazigo ya vinyesi.
Mvua, jua vyote vyetu mkuu
Mkuu

Naona wale Waalimu wamemuadhibu kistaarab...... Ingekuwa ni enzi zangu namtandika kichwa cha pua anamwaga kisusio....

Kisha namtandika fimbo sawa na idadi ya nywele zake kichwani...... Hapo lazima atubu dhambi zake zote

Wale jamaa wamemtandika makofi machache sana.
 
Hatuwapigi ili wafaulu, kwa sababu wafaulu wasifaulu sie hawatusaidii chochote
Nakumbuka wakati niko primary nafundisha, alikuja Barnaba boy kuja kusalimia walimu na kuwashukuru kwa kumfikisha hapo alipo.
Maana alisoma hapo.
Wachache wenye adabu hukumbuka walikitoka...hawa mamburula sasa wasiosikia la mwadhini ndo kutwa kuruka ruka kama pop corn kikaangoni.
 
Sahivi mtoto hafukuzwi shule hadi bodi ya shule ikae wajadili, kwahiyo akikupiga January usubiri hadi bodi ikae November ndo wafanye maamuzi.... Si ujinga huu, heri apate stiki za kiuno akaugulie kwao
Tena kwenye hicho kikao na afisa elimu mkoa awepo, huu si ufala.
Bado akifikishwa kwenye bodi bodi inakataa.
 
Mkuu

Naona wale Waalimu wamemuadhibu kistaarab...... Ingekuwa ni enzi zangu namtandika kichwa cha pua anamwaga kisusio....

Kisha namtandika fimbo sawa na idadi ya nywele zake kichwani...... Hapo lazima atubu dhambi zake zote

Wale jamaa wamemtandika makofi machache sana.
Afu wale si wa BTP, wanapiga kiuoga uoga.
Angekutana na nunda kama mie niliepitia Tambaza, na JKT...sa hivi ningekuwa nakula ugali pamoja na Scorpion Segerea.
Mitoto ya kizazi hiki cha akina Diamond na Kiba ni viburi sana, kisa wote tunakutana Insta.

Kung'uta mpaka anamwaga uharo wa kiporo cha asubuhi
 
Nakumbuka wakati niko primary nafundisha, alikuja Barnaba boy kuja kusalimia walimu na kuwashukuru kwa kumfikisha hapo alipo.
Maana alisoma hapo.
Wachache wenye adabu hukumbuka walikitoka...hawa mamburula sasa wasiosikia la mwadhini ndo kutwa kuruka ruka kama pop corn kikaangoni.
Na ndio hawa kejeli kibao kwa walimu kisa kakalia kiti kinachozunguka, hakumbuki alikotoka. Anasahau hao hao waliofeli ndio walomfundisha hadi kufikia hapo alipo. Nyambafu kabisa.
 
Na ndio hawa kejeli kibao kwa walimu kisa kakalia kiti kinachozunguka, hakumbuki alikotoka. Anasahau hao hao waliofeli ndio walomfundisha hadi kufikia hapo alipo. Nyambafu kabisa.
Tena pumbafu zao mara mia.
Yaani humu kuna watu nilikuwa nawaona wa maana, ila nimewajua tabia zao za ndani kupitia uzi huu.
Mashwetani wekundu hao.
Bla bla nyingi wakati kutwa miamala kwao haisomi.
Watudharau ila wakae wakijua mwalimu ndio the first person kumtoa mtoto from zero to hero.
 
QUOTE="moghasa, post: 17953852, member: 141630"]mi sio Mywether kupigana ngumi za show off !! ukileta ujinga hata dawati inakuwa nyenzo believe me!! na ndo maana sijawai kupingwa!

Kila kazi ina changamoto, kama kweli ualimu ni wito kwako kwa nini una dhana ya ukatili kiasi hiki kwa wanafunzi? A Best teacher ever in doing what? Corporal/Capital punishment or molesting girls?
Are you afraiding that I could be your daughter's teacher ?
molesting do not suit me !! am a descipline master !!!
 
Back
Top Bottom