Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

  1. Mtoa mada ananifurahisha na hizo comments zake.. Ila nilichokigundua waalimu ni kama wanasapoti mwalimu mwenzao but anyway mwanafunzi kuleta jeuri kwa mwalimu ni kosa na pia mwalimu kutoa adhabu isiyo ya kiuanafunzi kwa mwanafunzi ni kosa
Yote ni makosa, lakini why ndio uwe wimbo mbadala wa taifa?
Maana nina imani kuna watu humu tangu mada iletwe jana uwanjani, sijui kama wameoga au wamesafisha tupu zao za mbele au za nyuma.

Pamoja mkuu
 
Yote ni makosa, lakini why ndio uwe wimbo mbadala wa taifa?
Maana nina imani kuna watu humu tangu mada iletwe jana uwanjani, sijui kama wameoga au wamesafisha tupu zao za mbele au za nyuma.

Pamoja mkuu
Nadhani kwa tukio zima lilivyo ni mtu ambae hajawai kufundisha kabisa ndio anaeweza kusapoti hao waalimu wanafunzi kufukuzwa chuo,,lakini kama ulishawai kufundisha japo hata kwa temporary kama mimi lazima useme mwalimu alikua sahihi.ishu kubwa hapo ni kuliki kwa video ila matukio km hayo hapo sana na mtt akitoka hapo anabadilika kabisa
 
Mwalimu ana kazi ngumu sana hasa kwa mazingira ya Tanzania na kwa kizazi hiki ambacho mtoto hapigwi sio na mzazi,jirani wala mwalimu hali inazidi kuwa mbaya na hii imewafanya watoto kuwa na viburi visivyoelezeka,mie kipindi nasoma nilikuwa mkorofi...mkorofi haswaa hivi kwa ujinga wangu nilirukaruka nikadance na nawashukuru walimu wangu hawakuwa wavivu kunipiga na pia mama yangu alikuwa amenikabidhi kwa walimu nikawa chini yao,nilikuwa napigwa kutokana na kiburi but ilivyo ni kwamba umri ule nikiona kama naonewa ila sasa nimekuwa mkubwa umuhimu wa zile adhabu nimeuona na nilishazikubali kwamba nilizistahili...well ilinisaidia japo kwa sasa mwanga nauona but wale tuliokuwa tukifanya upumbavu wote wakawa wanazikimbia adhabu za walimu sasa hawana future wengine wanakunywa viroba kupindukia yaani wapo wapo tu.my point is,mzazi mtoto wako akiadhibiwa usikimbilie kumlaum mwalimu angalia ninini hasa kilichomsababishia adhabu,mtoto kupewa homework asiifanye ni kosa na dharau kubwa kwa kiongozi wake inampasa adhabu na mfundishe kuzikubali adhabu hakuna mwalimu kichaa wakumuadhibu mwanao kama huyo mwanao hajamjibu shit,mtoto akifail mwalimu anashushwa cheo na maneno yote mabovu ila mzazi hujui kwamba kuzuilia adhabu za mwanao anageuka mbumbumbu akirudi nyumbani kuendesha bodaboda akapata ajali...mawili kifo au ulemavu vyote ni hasara kwa taifa,personally nazikubali adhabu za mwalimu na mtoto wangu akileta ujinga atapewa adhabu bila huruma yoyote.
 
Ni mjinga na taahira peke yake ndie mwenye uwezo wa kuona walichofanya walimu ni udhalilishaji.
Ila amini nawaambia hawa wapuuzi wa hapa jukwaani ambao hawajui lolote linaloendelea, hawaijui vizuri kazi hii ya ualimu.
Bora hata wewe uliyenusa tempo lakini umeona hali halisi ya kinachoendelea huko mashuleni, kuliko taahira anayebisha asichokijua.
Siku moja wavae viatu vyetu, waje angalau wakae wiki tu, haki vile, hawatarejea tena.
Wangapi wanaondoka katika ualimu?
Wangapi pia wanaingia?
Wakumbuke hao wazazi wao waliyezaa huyo taahira anayebisha hapa jukwaani pia kafundishwa na mwalimu.
Au kwa kuwa siku hizi fani ziko nyingi?
Pumbavu zao.
Wakajambie mbele tena.

Nimechefukwaaaa!!!!!
 
[emoji106] [emoji122] [emoji122]
 
Bora hata wewe umekuwa msema ukweli.
Wengine hapa wazazi wao wanazeekea kwenye ualimu na mpaka sasa anapumua pumzi ya bure kutokana na mshahara wa wazazi wake.
 
Nipo pamoja na mwalimu mwenzangu aliyeroa post hii.....

Hongera mwalimu kwa kuwa muwazi.....

Tusaidiane kuijenga jamii yenye nidhamu wandugu
Tuko pamoja mkuu.
Kuna uhakiki wa kikanda unaanza.
Umejiandaa?
 
Hapa kwetu ni kama wote ni nyumbu tu tunasubiri matukio tupate cha kuongea....
Mambo ya msingi kimya, huu ujinga hadi mawaziri wanaibuka ovyo sana
 
Hyo unaongelea shule zipi ndugu yangu private au government
 
Hahaa calm down madam,ila kuna haja ya kukaa na kutafakari kabla ya kuchangia mambo kama haya changamoto wanazokumbana nazo waalimu ni nyingi mnooo hasa wa sekondari kwa kua vijana wapo kwenye balekhe na yaitaji busara sana kudili nao.ticha ni binadamu kama polisi ana mihemko yake ya hasira ndo maana wakati mwingine muhalifu akikataa kutii sheria bila shuruti hushushiwa kipigo cha mbwamwizi.the same applied kwa frank
 

 
Hahaaa eti akaubusu mkono, umenikumbusha ile naanza kazi wiki ya pili nikawa zamu, kuna litoto nikaliambia lipige magoti akapiga kwa mikono, uwiii nilikaribia kupasuka, alafu limepanda hilo, mijicho myekunduuuu!!!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
My ribs!!!
Hakubusu mkono wangu, alibusu mkono wake, nlivomaliza kuuchapa akaubusu means kadharau nlipata hasira zisizosimulika....matokeo yametoka ametaga kapata alichostahili
Mijitu ya hivyo inaishiaga kutaga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…