Well said mamy.....Protein njoo my ndugu. Ninakupenda na ninakuombea Mungu akutie nguvu. Kila nikiwa na ujauzito nikipimwa HIV huwa ninamwambia mme wangu "Hata walio positive kuna kipindi walikuwa negative"Hivyo tuishi maisha ya uaminifu na kumwogopa Mungu. Njoo utupe madini zaidi nina uhakika kuna waathirika watajifunza kutoka kwako.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125]Usiombe ukadate chitombi then ukajua ni chitombi, walah majibu lazima uyakimbie.
Ndio maana wanadata.. Mwaka bila ya papuchi🤣😂🤣😂🤣😂 Poleni aisee. Maisha ya ulaya siyo kabisa ukiwa na sex drive kubwa pole yako.
hahahahaa mmmh kuna kunena kwa lugha kumbe humuYaani ulikwenda kwa daktari baada ya kupata kazi?
Kuna utaratibu wa kupima ukipata kazi Sweden?Daktari ndio alikupa fomu?
Daktari umuambie tiki kote sina wasiwasi?Ndio alijibu una uhakika hauna ukimwi?
Prata sanningen. Det är inte så svårt att veta att du prata inte sanning..
Nimeandika kiswidish
"Sema ukweli.
Sio ngumu kujua kwamba husemi ukweli."
Sweden hamna utaratibu huo unaousimulia.Sweden hamna kitengo.Watu wote wanapimwa kwenye vårdcentral magonjwa yote.
Vårdcentral- Zahanati
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahahahahahahaa mmmh kuna kunena kwa lugha kumbe humu
Haina shida ila babu wa watu hayuko kibiashara kama una mtu anamsaidia mnampoza kidogo basi hataki mbwembwe wala umaarufuNa mimi pia, usinisahau PM
Tuanzie hapo mkuu, kumjua baba wa huyo jamaa, japo sio swala la msingi sana. Hisia zangu zinanituma kuwa sio hadithi ya kweli. Japo ina funzo kubwa ndani yake.Duuu kwanini unasema ya kutunga ? Baba yake huyo chalii huyu manzi kasema ni Pediatrician hapo Muhimbili na jina lake kama hela hivi
Kwanini tusianzie hapa kwanza kumjua huyo daktrari bingwa wa kina mama na watoto hapo Muhimbili ndio tuseme hii ni fiction ?
Mimi nipo tayari kukuoa utakubaliMwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunioa hivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Sisi ambao tumeweza kutumia njia ya
Abstain from sex tunapeta Tu na hatuna wasiwasi
South noma sana kule... Hawashtuki kabisaIla alifanya maamuzi mazuri kujiweka wazi. Ni vizuri kujilinda na kumlinda unayempenda.
Rejection kitu gani bwana. Protein ulifanya maamuzi ya busara.
Naamini siku tukiacha kuwanyanyapaa waathirika nao hawatashindwa kujisema wana HIV. Kikubwa wanachohofia ni athari watakazokutana nazo wakishajiweka wazi.
Nilishawahi kwenda kusini mwa Afrika...nadhani ni jamii nzuri kuiiga kwenye suala la Ukimwi. Ukimtongoza mtu haoni shida kukuambia mimi nina Ukimwi na aliyeambiwa hata hastuki.
Huhitaji kusononeka na kuona umepoteza. Weka mind yako free utapata mwenza.
Sikutaka ku-comment kwenye huu uzi umejaa comments za kitoto.