Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,542
Pole sana fanya mpango upate mwenzio
Starehe ya ngono na pombe sio yakuacha kabisa
Daah we mzee bhana kwahiyo sisi tusiotumia vyote tunapoteza sana
Pole sana fanya mpango upate mwenzio
Starehe ya ngono na pombe sio yakuacha kabisa
Zabron alijijua na ndiyo maana hakutaka kupimaYawezekana na yeye alikuwa hajui kama anao pole sana Mkuu nikajua huku mbagala peke yake ndiyo wanyonge wanapata ukimwi kumbe hata huko Holm
Daah kweli Dunia ni Familia na sio kijiji tena
Duuh, pole sana!Mwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunuoa hivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Aisee pole sana. ....mojawapo ya matokea ya ku jiweka wazi ndio kama hizo rejections.Mwaka jana 3018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mchshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunuoa hivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Zabron alijijua na ndiyo maana hakutaka kupima
Alikuwa na mambo mengi, alipata deportationDaah zabron alizingua kweli aisee sasa alifanikiwa kupata passport ya ki Swedish
Sasa ukirudi kwenye ID yako kongwe wale waonyesha nia utawasaidiaje au Stockholm hatuna wawakilishi maana unaweza ukaingiwa na bwana devil ukasema ulipe kisasiSifahamu kama yuko humu,, unya nya paa kwa waathirika bado sana ndiyo maana nimefungua ID mpya.
Siwezi kumuambukiza mtu, ninakunywa dawa vizuri niko salama.Sasa ukirudi kwenye ID yako kongwe wale waonyesha nia utawasaidiaje au Stockholm hatuna wawakilishi maana unaweza ukaingiwa na bwana devil ukasema ulipe kisasi
Pole ndugu yangu, kwenye ujana tunapitia mitihani sana ukinusurika unamshukuru Mungu, mana idadi kubwa kabla ya ndoa kwenye ku date huwa tunajisahau na kujikutana tumewaamini watu tunao date nao tunajiachia huku hata kupima hatujapima. Nakumbuka nilipopata mchumba anataka kunioa akaniambia cha kwanza kupima uuuwi nilienda kwanza mwenyewe but still niliyakimbia majibu, uzuri nilienda na rafiki yangu nikamuomba akanichukulie mana mimi nilishakimbia nikamuacha pale hospitali, aliponiambia nimeyachukua uko Negative nilihisi kama kiumbe kilichozaliwa upya, baada ya kama mwezi nikaend tena hospitali nyingine this time peke yangu, nikakutwa negative ndo nikapata sasa nguvu ya kwenda kupima na mchumba wangu


uliruka ruka sana ujanani eeHongeraaSisi ambao tumeweza kutumia njia ya
Abstain from sex tunapeta Tu na hatuna wasiwasi
Hongeraa
Mnapoteza mnoo mkuuDaah we mzee bhana kwahiyo sisi tusiotumia vyote tunapoteza sana
NawezaAsante Mkuu wewe huwezi???
Aisee pole sana. ....mojawapo ya matokea ya ku jiweka wazi ndio kama hizo rejections.
Usikate tamaa muda bad unao na utabarikiwa mtu muelewa na mtakuwa na familia yenu.
Jitahidi kumsamehe na ujisamehe wewe pia, kwa maana ni jukumu lako kujilinda afya yako kwanza.
Ni muda sasa tujifunze kuacha kuwa nyanyapa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na kuwaona kama wamemkosea Mungu au walikuwa na maienendo michafu kufika maambukizi.
Kila la kheri Protein
Naweza
Ila alifanya maamuzi mazuri kujiweka wazi. Ni vizuri kujilinda na kumlinda unayempenda.
Rejection kitu gani bwana. Protein ulifanya maamuzi ya busara.
Naamini siku tukiacha kuwanyanyapaa waathirika nao hawatashindwa kujisema wana HIV. Kikubwa wanachohofia ni athari watakazokutana nazo wakishajiweka wazi.
Nilishawahi kwenda kusini mwa Afrika...nadhani ni jamii nzuri kuiiga kwenye suala la Ukimwi. Ukimtongoza mtu haoni shida kukuambia mimi nina Ukimwi na aliyeambiwa hata hastuki.
Huhitaji kusononeka na kuona umepoteza. Weka mind yako free utapata mwenza.
Sikutaka ku-comment kwenye huu uzi umejaa comments za kitoto.
Hata hospitali tumeambiwa ukiwa undecteble huna haja ya kumwambia date kuwa una HIV, lakini ki sheria mwanaume anaekuoa lazima umueleze.Ila alifanya maamuzi mazuri kujiweka wazi. Ni vizuri kujilinda na kumlinda unayempenda.
Rejection kitu gani bwana. Protein ulifanya maamuzi ya busara.
Naamini siku tukiacha kuwanyanyapaa waathirika nao hawatashindwa kujisema wana HIV. Kikubwa wanachohofia ni athari watakazokutana nazo wakishajiweka wazi.
Nilishawahi kwenda kusini mwa Afrika...nadhani ni jamii nzuri kuiiga kwenye suala la Ukimwi. Ukimtongoza mtu haoni shida kukuambia mimi nina Ukimwi na aliyeambiwa hata hastuki.
Huhitaji kusononeka na kuona umepoteza. Weka mind yako free utapata mwenza.
Sikutaka ku-comment kwenye huu uzi umejaa comments za kitoto.