- Thread starter
- #81
Ndiyo mkuu ni lazima upimwe damu kila baada ya miezi sita lakini afya ikiimarika unamuona daktari mara moja kwa mwaka
Ndiyo mkuu ni lazima upimwe damu kila baada ya miezi sita lakini afya ikiimarika unamuona daktari mara moja kwa mwaka
Alaf unakuja kuacha amaNdiyo mkuu ni lazima upimwe damu kila baada ya miezi sita lakini afya ikiimarika unamuona daktari mara moja kwa mwaka
Labda tiba ibadilike
pole sana ProteinMwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunioahivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Aisee pole sana. ....mojawapo ya matokea ya ku jiweka wazi ndio kama hizo rejections.
Usikate tamaa muda bad unao na utabarikiwa mtu muelewa na mtakuwa na familia yenu.
Jitahidi kumsamehe na ujisamehe wewe pia, kwa maana ni jukumu lako kujilinda afya yako kwanza.
Ni muda sasa tujifunze kuacha kuwa nyanyapa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na kuwaona kama wamemkosea Mungu au walikuwa na maienendo michafu kufika maambukizi.
Kila la kheri Protein




Usione vyaelea bwana mdogoNnjoo bobo
Script imekosewa dogoLakini points ulizotoa zinacut across.
Nimeshangaa kwamba ilikuwa anaofanya nao wanapima yeye hapimi na wanakubali.


Umesoma Aya ya mwisho ?Ndio maana watu hawawezi kuleta testimonies hapa, hukuwa na sababu ya kumshambulia mleta mada, ujana unakuja na mengi, wengi tumeleteza na baadhi wameangukia kwenye maradhi kama hayo.
Relax na umshauri na kumpa moyo mwenzetu, don't attack her.
Script imekosewa dogo![]()
Ok vyema umeshajigundua mapema, nadhani pia umeshajikubali !!! Kikubwa jali Sana afya, jiepushe na ngono, ikishindikana shiriki aghalabu ngono salama !Mkuu nilipima mwaka 2005 na baada ya hapo Zabron ndiye niliye lala nae. Mengine nimeongoa kama finzo
Sasa huko sindo wanasemaga kila siku wamepata kinga sijui niniLabda tiba ibadilike
Form ina maswali mengi lakini kinga ya lazima ilikuwa hepatitis B, ila niliamua kufanya full medical check up.Yaani ulikwenda kwa daktari baada ya kupata kazi?
Kuna utaratibu wa kupima ulipata kazi Sweden?Daktari ndio alikupa fomu?
Daktari umuambie tiki kote sina wasiwasi?Ndio alijibu una uhakika hauna ukimwi?
Pratar sanningen. Det är inte så svårt att veta att du pratar inte sanning..
Nimeandika kiswidish
"Sema ukweli.
Sio ngumu kujua kwamba husemi ukweli."
Sweden hamna utaratibu huo unaousimulia.
Labda huko tuendako. Nilipoanza tiba nilipewa vidonge viwili kimoja asubuhi kimoja jioni. December niliambiwa tiba imeimarishwa kidonge cha asubuhi na jioni kimechangnywa ni uamuzi wangu tu kunywa asubuhi au jioni. Lakini ni mara moja kwa siku.
Wacha chai wewe!Form ina maswali mengi lakini kinga ya lazima ilikuwa hepatitis B, ila niliamua kufanya full medical check up.
Hao watu wanatuvuruga tu akili zetu kama wameweza kuchanga vidonge viwili kuwa kimoja wanashindwa vitu kuchanga na vingine kuleta dawa kamili wanazingua tu wanazo ziko store ila wanataka wabongo tufe kwanza waje kuchukua bara lao kwa upyaLabda huko tuendako. Nilipoanza tiba nilipewa vidonge viwili kimoja asubuhi kimoja jioni. December niliambiwa tiba imeimarishwa kidonge cha asubuhi na jioni kimechangnywa ni uamuzi wangu tu kunywa asubuhi au jioni. Lakini ni mara moja kwa siku.
Daktari alisema wengi walikuwa wanasahau dose moja kati ya hizi mbili hivyo wataalamu waliamua kuzichanganya iwe kidonge kimoja.
Research ya hizi dawa inagharimu pesa nyingi hivyo inawezekana wenye licences wamezuia tiba kamili mpaka warudishe faida yao.Hao watu wanatuvuruga tu akili zetu kama wameweza kuchanga vidonge viwili kuwa kimoja wanashindwa vitu kuchanga na vingine kuleta dawa kamili wanazingua tu wanazo ziko store ila wanataka wabongo tufe kwanza waje kuchukua bara lao kwa upya
Sent using Jamii Forums mobile app
stockhom kubwaStockholm
Mtaje tuu yeye .Yeye aliamua kukufanyia ukatili hivyo. Hakuna haja ya kumuwekea privacy. Unaweza kuja na Id mpya na nyuzi nyingine ukamtaja tuu. Alikufanyia ukatili SanaZabron si jina lake halisi. Ameniumza sana. Kila nikijaribu kumsamehe ninajikuta ninalia.