As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,544
Mkuu si ungemfuata DM hapa utachezea chaga tuMimi nipo tayari kukuoa utakubali
Mkuu si ungemfuata DM hapa utachezea chaga tuMimi nipo tayari kukuoa utakubali
Pole sana mdada, najua lzm umeumia sana, yaan mtu anaamua kumharibia maisha mtu mwingine wakati anajua wazi yeye ni mwathirikaZabron si jina lake halisi. Ameniumza sana. Kila nikijaribu kumsamehe ninajikuta ninalia.
Wanaume wana swawabu nyingi mno,tunajitoaga sadaka mno mbele za hawa viumbe wa kike,Daaa! Kwa wema huo lazima waingie peponiYaani wanaume uliokuwa unakutana nao walikuwa wanapima kabla hamjafanya zinaa halafu wewe wanakuacha usipime?
I rest my case here![]()
You have my respect mkuuIla alifanya maamuzi mazuri kujiweka wazi. Ni vizuri kujilinda na kumlinda unayempenda.
Rejection kitu gani bwana. Protein ulifanya maamuzi ya busara.
Naamini siku tukiacha kuwanyanyapaa waathirika nao hawatashindwa kujisema wana HIV. Kikubwa wanachohofia ni athari watakazokutana nazo wakishajiweka wazi.
Nilishawahi kwenda kusini mwa Afrika...nadhani ni jamii nzuri kuiiga kwenye suala la Ukimwi. Ukimtongoza mtu haoni shida kukuambia mimi nina Ukimwi na aliyeambiwa hata hastuki.
Huhitaji kusononeka na kuona umepoteza. Weka mind yako free utapata mwenza.
Sikutaka ku-comment kwenye huu uzi umejaa comments za kitoto.
Hakuna kitu kama hicho virus hatibiki. Story za vijiweni hizo angekuwepo mtu anaweza tibu HIV angejulikana kilazima tu. 5% ya watanzania wana HIV unazan hawapendi tiba?Ndugu huku Tz wapo wazee vijijini ambao wanatibu hiyo kitu unakuwa mzima kabisa lakini wazee wenyewe hawana umaarufu wala mbwembwe wapo kigoma, Mtwara, nk jitahidi ukipata likizo uje bongo ukakae bush kwa hawa wazee ndani ya mwezi tu unakuwa HIV Neg
Kulalamika na kutuhumu watu bila ya ushahidi wenye mashiko haitakusaidia kitu sanasana utaletewa kejeli na maneno mbofu mbofu
Maadamu umeshajijua afya yako jitahidi kujihifadhi sasa usianze kuusambaza kwa watu kwa kulipa kisasi
Ushauri mzuri sana huu.Pole sana fanya mpango upate mwenzio
Starehe ya ngono na pombe sio yakuacha kabisa
5% of 55,000,000 people. Aisee, hii ni hatari. 2.7m sio idadi ndogo aisee...Hakuna kitu kama hicho virus hatibiki. Story za vijiweni hizo angekuwepo mtu anaweza tibu HIV angejulikana kilazima tu. 5% ya watanzania wana HIV unazan hawapendi tiba?
Yes report ya mwisho inasema 4.8% ukiweka na ambao hawajapima ni 5% kwa makadirio ya chini.5% of 55,000,000 people. Aisee, hii ni hatari. 2.7m sio idadi ndogo aisee...
Mkuu mm cjakulazimisha kuamini ninachokisema! Amini unachokiamini mkuuHakuna kitu kama hicho virus hatibiki. Story za vijiweni hizo angekuwepo mtu anaweza tibu HIV angejulikana kilazima tu. 5% ya watanzania wana HIV unazan hawapendi tiba?
Hiyo statistical data kaipata wapi huyo?5% of 55,000,000 people. Aisee, hii ni hatari. 2.7m sio idadi ndogo aisee...
Ishu sio kuamini ishu ni kuelewa huwezi pona HIV.Mkuu mm cjakulazimisha kuamini ninachokisema! Amini unachokiamini mkuu
Hakuna ugonjwa usiokuwa na Tiba! Kifo tu ndio hakina TibaIshu sio kuamini ishu ni kuelewa huwezi pona HIV.
Kuwaonya jamani ugonjwa uko kila mahali. Huyu Zabron Baba yake ni daktari mfawidh Muhimbili hakuna aliyeamini kuwa ni muathirika
Hahaaaaaaaaaaa da mimi nacheka pekanangu hapa...Ushauri mzuri sana huu.
Yes kila ugonjwa una tiba ila sio kila ugonjwa una ponywa. Treatment vs cure hiv ina treatment sio cure manake hata ukipata tiba bado utaendelea kuwa na traces za virus.Hakuna ugonjwa usiokuwa na Tiba! Kifo tu ndio hakina Tiba
Zipo online nbs unaweza soma njombe waongoza kwa 11.4p lindi ta mwisho kwa 0.4p nationwise ni 4.7p appro 5pHiyo statistical data kaipata wapi huyo?
Na ulivyo mbishi bila Shaka ni Mruguru au Muha ww kuna mtu alikuwa HIV(+) status yake sasa ni HIV(-) kama una bisha nikipata likizo twende ukamuone nitakulipia na nauli akuhadisie mwenyeweYes kila ugonjwa una tiba ila sio kila ugonjwa una ponywa. Treatment vs cure hiv ina treatment sio cure manake hata ukipata tiba bado utaendelea kuwa na traces za virus.