Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Watu wana underestimate spread ya ukimwi, yaani ukifanya mapenzi bila kinga ukabahatika shukuru sana, watu wengi they simply don't care wakidhani waathirika ni wachache, waathirika ni wengi zaidi ya watu wanavyofikiria, waliopima ni wachache.
You are absolutely right,people are taking things for granted,halafu kuna wakati naona kama vile serikali zimerelax wakati watu wana ambukizwa kila kukicha...
 
Ila alifanya maamuzi mazuri kujiweka wazi. Ni vizuri kujilinda na kumlinda unayempenda.

Rejection kitu gani bwana. Protein ulifanya maamuzi ya busara.

Naamini siku tukiacha kuwanyanyapaa waathirika nao hawatashindwa kujisema wana HIV. Kikubwa wanachohofia ni athari watakazokutana nazo wakishajiweka wazi.

Nilishawahi kwenda kusini mwa Afrika...nadhani ni jamii nzuri kuiiga kwenye suala la Ukimwi. Ukimtongoza mtu haoni shida kukuambia mimi nina Ukimwi na aliyeambiwa hata hastuki.

Huhitaji kusononeka na kuona umepoteza. Weka mind yako free utapata mwenza.

Sikutaka ku-comment kwenye huu uzi umejaa comments za kitoto.
Shukrani umeweka yako machache.
Ujumbe umeshawafikia.
 
Kumbe mnajaribu bahati ya rship kwa kulala na mhusika ? Ni lazma mlale wote ndo awe mtu wako ?

Alafu hio lawama ya kijana wa kitanzania una uhakika gan ndo yeye alikuambukiza ? Pengine ulipata ugonjwa kwenye kujaribu bahati uliyoisema ?

Usitake huruma za watu hapa kwa kumnyooshea vidole mtu ambaye pengine huna uhakika nae Ni yeye alikuambukiza, besides ni starehe zenu hizo !

Eti mlikutana Mara ukamkaribisha home sijui mambo ya upweke , ndo huko huko mnapopotelea, au wewe Ni zile dizain mnajionaga mko njema, mnaanza kunata kumbe Amna kitu, umri unasogea unajikuta unajaribu bahati yako ya mahusiano huku na huku unajikuta umeukwaa!

Kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili, jitahidi kuepuka maambukizi mapya!
Hujafa hujaumbika, uwe na akiba ya maneno.
 
Hata hospitali tumeambiwa ukiwa undecteble huna haja ya kumwambia date kuwa una HIV, lakini ki sheria mwanaume anaekuoa lazima umueleze.

So unaweza kudate ilawa siri yako as long as humuambukizi date.
Kila la kheri.
 
Hapana ila nilikuwa bf ambae nilizani niko peke yangu kumbe tumepangwa kama watatu hivi, nilipojua nikaamua kujitoa toka hapo nikawa mwenye wasiwasi sana
Usiombe ukadate chitombi then ukajua ni chitombi, walah majibu lazima uyakimbie.
 
Kumbe mnajaribu bahati ya rship kwa kulala na mhusika ? Ni lazma mlale wote ndo awe mtu wako ?

Alafu hio lawama ya kijana wa kitanzania una uhakika gan ndo yeye alikuambukiza ? Pengine ulipata ugonjwa kwenye kujaribu bahati uliyoisema ?

Usitake huruma za watu hapa kwa kumnyooshea vidole mtu ambaye pengine huna uhakika nae Ni yeye alikuambukiza, besides ni starehe zenu hizo !

Eti mlikutana Mara ukamkaribisha home sijui mambo ya upweke , ndo huko huko mnapopotelea, au wewe Ni zile dizain mnajionaga mko njema, mnaanza kunata kumbe Amna kitu, umri unasogea unajikuta unajaribu bahati yako ya mahusiano huku na huku unajikuta umeukwaa!

Kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili, jitahidi kuepuka maambukizi mapya!
Ndio maana watu hawawezi kuleta testimonies hapa, hukuwa na sababu ya kumshambulia mleta mada, ujana unakuja na mengi, wengi tumeleteza na baadhi wameangukia kwenye maradhi kama hayo.

Relax na umshauri na kumpa moyo mwenzetu, don't attack her.
 
Back
Top Bottom