Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Protein njoo my ndugu. Ninakupenda na ninakuombea Mungu akutie nguvu. Kila nikiwa na ujauzito nikipimwa HIV huwa ninamwambia mme wangu "Hata walio positive kuna kipindi walikuwa negative"Hivyo tuishi maisha ya uaminifu na kumwogopa Mungu. Njoo utupe madini zaidi nina uhakika kuna waathirika watajifunza kutoka kwako.
Well said mamy.....
Sijui kwanini baada ya kusoma hii thread nimeujua huu mwandiko ....aaahh hisia mbaya...
Mungu azidi kumtia nguvu huyu lady.
 
Ukimwi ni imani, hakuna ugonjwa wa ukimwi, usijaribu kutumia madawa ya waathirika hutaishi zaidi ya miaka 6 yanaenda kuua mapafu na figo...
 
Yaani ulikwenda kwa daktari baada ya kupata kazi?
Kuna utaratibu wa kupima ukipata kazi Sweden?Daktari ndio alikupa fomu?
Daktari umuambie tiki kote sina wasiwasi?Ndio alijibu una uhakika hauna ukimwi?
Prata sanningen. Det är inte så svårt att veta att du prata inte sanning..
Nimeandika kiswidish
"Sema ukweli.
Sio ngumu kujua kwamba husemi ukweli."
Sweden hamna utaratibu huo unaousimulia.Sweden hamna kitengo.Watu wote wanapimwa kwenye vårdcentral magonjwa yote.
Vårdcentral- Zahanati
hahahahaa mmmh kuna kunena kwa lugha kumbe humu
 
Pole sana dear..unaonekana sio mwandishi mzuri ila nimeyahisi maumivu yako.Mungu akupe uwezo wa kujikubali na kusamehe ili uendelee na maisha mengine ya furaha.
 
Duuu kwanini unasema ya kutunga ? Baba yake huyo chalii huyu manzi kasema ni Pediatrician hapo Muhimbili na jina lake kama hela hivi

Kwanini tusianzie hapa kwanza kumjua huyo daktrari bingwa wa kina mama na watoto hapo Muhimbili ndio tuseme hii ni fiction ?
Tuanzie hapo mkuu, kumjua baba wa huyo jamaa, japo sio swala la msingi sana. Hisia zangu zinanituma kuwa sio hadithi ya kweli. Japo ina funzo kubwa ndani yake.
 
Kama ningesoma huu uzi mapema nisingeenda kuchepuka kavu leo japo tumepima nae kitambo
 
Kaka yako alikuwa sahihi wewe ni mpumbafu kwani kinga hamna huko.
Fuata maelekezo ya dokta sasa wala usimlaumu huyo jamaa.

Sisi tunachepuka sana tu. Na kabla ya mgegedo najua kabisa nitapiga labda game 3 au 4. Naenda na kinga rougH rider za kutosha.. Kila game navaa fresh.
Sina ngoma na tuna gegeda kama kawaida.
 
Mwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .

Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunioa hivyo asinipotezee muda.

Niliumia sana.
Mimi nipo tayari kukuoa utakubali
 
Kuwa na Virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha kikubwa ni kuzingatia tu masharti

 
Babu yangu pia alikuwa muathirika wa HIV. Ila sasa kama muujiza fulani hana tena. Alianza dozi baada ya Cd4 kushuka sana, but alikuwa anafuatilia sana madawa ya kienyeji na Arv's. Cha ajabu kaenda kupima tena hana. Damu yake imepelekwa maabara ya mblmbali lakini hana!!... Kinachonipa tabu inakuwaje, within seven years ya kutumia dawa. Leo hii amepona kabisa? Au hakuathirika?....all in all, pole sana waweza pona, ukimtegemea Mungu.
 
Ila alifanya maamuzi mazuri kujiweka wazi. Ni vizuri kujilinda na kumlinda unayempenda.

Rejection kitu gani bwana. Protein ulifanya maamuzi ya busara.

Naamini siku tukiacha kuwanyanyapaa waathirika nao hawatashindwa kujisema wana HIV. Kikubwa wanachohofia ni athari watakazokutana nazo wakishajiweka wazi.

Nilishawahi kwenda kusini mwa Afrika...nadhani ni jamii nzuri kuiiga kwenye suala la Ukimwi. Ukimtongoza mtu haoni shida kukuambia mimi nina Ukimwi na aliyeambiwa hata hastuki.

Huhitaji kusononeka na kuona umepoteza. Weka mind yako free utapata mwenza.

Sikutaka ku-comment kwenye huu uzi umejaa comments za kitoto.
South noma sana kule... Hawashtuki kabisa
 
Back
Top Bottom