Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Mimi ni member mkongwe humu. Ninaishi Sweden na nina passport kwa sasa. Nilikutana na kijana Mtanzania aliyekuwa na viza ya uanafunzi 2007 kumbe slikuwa muathirika. Nilimlaribisha nyumbani kwa chakula bila kufahamu lengo lake.

Kawakua nilikuwa mpweke sana alijenga mazoea ya kuja kwangu hasa weekends. Alionyesha dalili zote za mapenzi, nilimuambia tukapime kwanza. Siku moja alijiforce kwangu na ukawa mwanzo wa mapenzi bila kupima.

Yule kijana alirudi Tanzania, niliendelea na maisha. Nilimsahau kabisa. Mwaka 2017 nilipata kazi wizara ya afya Sweden, occupation health walinipa form ya kujaza. Nilikwenda kwa daktari na kumwambia sitajali kama atatick box zote. Aliniuliza una uhakika unataka kupima HIV? Nikasema ndiyo.

Alinipa karatasi niende nayo lab. Baada ya wiki moja nilipigiwa simu nirudie vipimo. Sikuwa na wasiwasi. Baada ya wiki nilirudi kwa daktari. Aliniambia Protein una HIV. Nilidhami anaongelea mtu mwingine.

Alianza kunieleza kuwa matibabu sikuhizi yameboreshwa sana. Nenda kwenye kitengo.

Nimefika kwenye kitengo walikuwa wanafunga kwa chakula cha mchana. Ilibidi niende nyumbani. Nilisali sana kuomba huruma ya Mungu.

Saa nane nilirudi kwenye kitengo. Walichukua vipimo upya. Majibu kutoka HIV+. Nilipewa nurse alinipa counselling kuanzia saa tisa mchana mpaka 11:00 wakati wanafunga ofisi. Safari yangu kama muathirika ilianzia hapo.

Nyumbani kwetu hawafahamu zaidi ya kaka yangu ambae aliumia sana. Alisema tulikupeleka Ulaya upate maisha bora leo hii unapata HIV Ulaya?

Haya ndiyo maisha yangu mapya kama muathirika.


Baada ya maambukizi nilikaa miaka 10 bila kujijua. Nilikuja kumjua aliyeniambukiza baada ya kupata list ya wa Tanzania aliowaambukiza. Kuna uwezekano niliwaambukiza watu wawili au watatu kwani nilikuwa single nikijaribu bahati ya relationship.
Pole sana kwa kipande kidogo cha maisha. Iweje, vyovyote ilivyo maana yake ni funzo kuwa tuwe makini katika maisha haya ya muda

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ach
Uko dunia ipi rafiki nenda google au tafuta mawasiliano ya familia ya dr sebi wakupe formula ya matunda ya asili hakika utapona huo ugonjwa husipo amini ni wewe na maisha yako.dawa ipo ila mzungu hawezi kuruhusu watu wajue........

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya watu, mwenzio anaumwa wewe unataka akatapeliwe. Huyo angekuwa anaponya usingetakiwa umwambie mtu ila kila mtu angekuwa anajua, sio yeye tu wengi hujifanya wanatiba wakati ndugu zao wanateketea na huo ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AchAcha kudanganya watu, mwenzio anaumwa wewe unataka akatapeliwe. Huyo angekuwa anaponya usingetakiwa umwambie mtu ila kila mtu angekuwa anajua, sio yeye tu wengi hujifanya wanatiba wakati ndugu zao wanateketea na huo ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kijna basi tufanye umeshinda hakuna dawa sawa... ila ungejua kinachoendelea alafu uko tanzania unasubiri mpka taarifa upate kutumia internet wakati weusi huku wanauwawa kisa wasitoe dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana, Vijana tukumbuke kupima kabla ya tendo hasa wale wenzangu wasiotaka mapenzi ndoa
 
Wanapona kweli?
Kwanini watu wakubwa hawatumii hizi dawa ?
Uko dunia ipi rafiki nenda google au tafuta mawasiliano ya familia ya dr sebi wakupe formula ya matunda ya asili hakika utapona huo ugonjwa husipo amini ni wewe na maisha yako.dawa ipo ila mzungu hawezi kuruhusu watu wajue........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nachukulia binadamu wengine Kama sehemu ya kujifunza..
 
kw
Wanawake au wasichana wengi wameathirika kwa kutaka relationships za fasta fasta. Nadhani umeandika kama funzo kwa wengine na iwe onyo kwa mfano yanayotendeka kwenye gyms; ni ukimwi kuenea kwa kasi ya supersonic.
enye gym kunafanyika nn mkuu
 
Hivi alipona ngoma huyu left eyez through Dr. Sebi alkaline treatment eeehh?

haha sina uhakika, sema info nyingi zinasema alienda tibu magonjwa ya kiroho, ila nyuma ya pazia wanadai ni ngwengwe ( so hakupona maana siku ya ajali alikua bado yuko uko Honduras )

na conspiracy inasema aliuwawa ili asi testify cure za Sebi ni madhubuti ,

Nipsey Hussle (aliyeuwawa wajuzi tu hapo) nae kafata mkondo , kisa uyu uyu dr. sebi
 
haha sina uhakika, sema info nyingi zinasema alienda tibu magonjwa ya kiroho, ila nyuma ya pazia wanadai ni ngwengwe ( so hakupona maana siku ya ajali alikua bado yuko uko Honduras )

na conspiracy inasema aliuwawa ili asi testify cure za Sebi ni madhubuti ,

Nipsey Hussle (aliyeuwawa wajuzi tu hapo) nae kafata mkondo , kisa uyu uyu dr. sebi
Kuna possibility tiba za Dr. Sebi ni genuine ila mabeberu hayataki zitamalaki nyakati hizi labda mpaka wakompansate gharama zao za maresearch coz kila anaejaribu kuexpose kuhusu Sebi analeft in peace.
Au better wanaoponywa wangefanyiwa kimya kimya mpaka wawe wengi ujumbe umeifikia dunia.
Nasikia mzee baba Kikwete pia alienda kwa Dr. Sebi na Dr akawa anajipanga kuja bongo mabeberu yakamuwahi wakamleftisha in their peace!!!
Dunia ina mengi hii!
 
Back
Top Bottom