Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
Zipo online nbs unaweza soma njombe waongoza kwa 11.4p lindi ta mwisho kwa 0.4p nationwise ni 4.7p appro 5p

Naamini mkuu wew ni msafi saana na wala haujawahi kutenda zambi ubarikiwe saaana hapo ulipoPole sana Pole Mkuu ila mimi leo kupitia kwako nitakuwa nakukumbushia tu vile maandiko yasemavyo ili kujilinda na haya yaliyokukuta kwa wengine pia
1 KOR. :6:18
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
Mimi ni member mkongwe humu. Ninaishi Sweden na nina passport kwa sasa. Nilikutana na kijana Mtanzania aliyekuwa na viza ya uanafunzi 2007 kumbe slikuwa muathirika. Nilimlaribisha nyumbani kwa chakula bila kufahamu lengo lake.
Kawakua nilikuwa mpweke sana alijenga mazoea ya kuja kwangu hasa weekends. Alionyesha dalili zote za mapenzi, nilimuambia tukapime kwanza. Siku moja alijiforce kwangu na ukawa mwanzo wa mapenzi bila kupima.
Yule kijana alirudi Tanzania, niliendelea na maisha. Nilimsahau kabisa. Mwaka 2017 nilipata kazi wizara ya afya Sweden, occupation health walinipa form ya kujaza. Nilikwenda kwa daktari na kumwambia sitajali kama atatick box zote. Aliniuliza una uhakika unataka kupima HIV? Nikasema ndiyo.
Alinipa karatasi niende nayo lab. Baada ya wiki moja nilipigiwa simu nirudie vipimo. Sikuwa na wasiwasi. Baada ya wiki nilirudi kwa daktari. Aliniambia Protein una HIV. Nilidhami anaongelea mtu mwingine.
Alianza kunieleza kuwa matibabu sikuhizi yameboreshwa sana. Nenda kwenye kitengo.
Nimefika kwenye kitengo walikuwa wanafunga kwa chakula cha mchana. Ilibidi niende nyumbani. Nilisali sana kuomba huruma ya Mungu.
Saa nane nilirudi kwenye kitengo. Walichukua vipimo upya. Majibu kutoka HIV+. Nilipewa nurse alinipa counselling kuanzia saa tisa mchana mpaka 11:00 wakati wanafunga ofisi. Safari yangu kama muathirika ilianzia hapo.
Nyumbani kwetu hawafahamu zaidi ya kaka yangu ambae aliumia sana. Alisema tulikupeleka Ulaya upate maisha bora leo hii unapata HIV Ulaya?
Haya ndiyo maisha yangu mapya kama muathirika.
Baada ya maambukizi nilikaa miaka 10 bila kujijua. Nilikuja kumjua aliyeniambukiza baada ya kupata list ya wa Tanzania aliowaambukiza. Kuna uwezekano niliwaambukiza watu wawili au watatu kwani nilikuwa single nikijaribu bahati ya relationship.

Tafuta muathirika mwenzako. Kwa kuwa umejitangaza basi watakuja inbobo huko uwapokeeMwaka jana 2018 nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Mtanzania, mzuri mcheshi msomi. Maongezi yalinoga sana. Tulikwenda dinner, mara ya pili tulikwenda picnic park. Siku nilipomkaribisha dinner nyumbani baada ya glass ya wine nilifinguka .
Yule kaka alikuwa hakustuka. Baada ya kuondoka aliniambia kwenye simu kuwa hataweza kunioa hivyo asinipotezee muda.
Niliumia sana.
Wanawake au wasichana wengi wameathirika kwa kutaka relationships za fasta fasta. Nadhani umeandika kama funzo kwa wengine na iwe onyo kwa mfano yanayotendeka kwenye gyms; ni ukimwi kuenea kwa kasi ya supersonic.Mimi ni member mkongwe humu. Ninaishi Sweden na nina passport kwa sasa. Nilikutana na kijana Mtanzania aliyekuwa na viza ya uanafunzi 2007 kumbe slikuwa muathirika. Nilimlaribisha nyumbani kwa chakula bila kufahamu lengo lake.
Kawakua nilikuwa mpweke sana alijenga mazoea ya kuja kwangu hasa weekends. Alionyesha dalili zote za mapenzi, nilimuambia tukapime kwanza. Siku moja alijiforce kwangu na ukawa mwanzo wa mapenzi bila kupima.
Yule kijana alirudi Tanzania, niliendelea na maisha. Nilimsahau kabisa. Mwaka 2017 nilipata kazi wizara ya afya Sweden, occupation health walinipa form ya kujaza. Nilikwenda kwa daktari na kumwambia sitajali kama atatick box zote. Aliniuliza una uhakika unataka kupima HIV? Nikasema ndiyo.
Alinipa karatasi niende nayo lab. Baada ya wiki moja nilipigiwa simu nirudie vipimo. Sikuwa na wasiwasi. Baada ya wiki nilirudi kwa daktari. Aliniambia Protein una HIV. Nilidhami anaongelea mtu mwingine.
Alianza kunieleza kuwa matibabu sikuhizi yameboreshwa sana. Nenda kwenye kitengo.
Nimefika kwenye kitengo walikuwa wanafunga kwa chakula cha mchana. Ilibidi niende nyumbani. Nilisali sana kuomba huruma ya Mungu.
Saa nane nilirudi kwenye kitengo. Walichukua vipimo upya. Majibu kutoka HIV+. Nilipewa nurse alinipa counselling kuanzia saa tisa mchana mpaka 11:00 wakati wanafunga ofisi. Safari yangu kama muathirika ilianzia hapo.
Nyumbani kwetu hawafahamu zaidi ya kaka yangu ambae aliumia sana. Alisema tulikupeleka Ulaya upate maisha bora leo hii unapata HIV Ulaya?
Haya ndiyo maisha yangu mapya kama muathirika.
Baada ya maambukizi nilikaa miaka 10 bila kujijua. Nilikuja kumjua aliyeniambukiza baada ya kupata list ya wa Tanzania aliowaambukiza. Kuna uwezekano niliwaambukiza watu wawili au watatu kwani nilikuwa single nikijaribu bahati ya relationship.
Kwani mnatenda nini katika Gym?Wanawake au wasichana wengi wameathirika kwa kutaka relationships za fasta fasta. Nadhani umeandika kama funzo kwa wengine na iwe onyo kwa mfano yanayotendeka kwenye gyms; ni ukimwi kuenea kwa kasi ya supersonic.
Nenda mwenyewe gym ukaone,usingoje kusimuliwa.Kwani mnatenda nini katika Gym?
Bro naingia 2 days per week sioni kitu Cha ajabu zaidi ya vyuma, trainer na vifaa vingine. Kwani nini kinaendelea huko kwenu?Nenda mwenyewe gym ukaone,usingoje kusimuliwa.

Uko dunia ipi rafiki nenda google au tafuta mawasiliano ya familia ya dr sebi wakupe formula ya matunda ya asili hakika utapona huo ugonjwa husipo amini ni wewe na maisha yako.dawa ipo ila mzungu hawezi kuruhusu watu wajue........Mimi ni member mkongwe humu. Ninaishi Sweden na nina passport kwa sasa. Nilikutana na kijana Mtanzania aliyekuwa na viza ya uanafunzi 2007 kumbe slikuwa muathirika. Nilimlaribisha nyumbani kwa chakula bila kufahamu lengo lake.