Victoire, you always act smarter ila nimefikiria mara mbilimbili ktk huu uzi nikahisi labda mlishakosana ktk hiyi id nyingine au ktk real world!
Inaonesha unamjua mtoa mada, ilitakiwa umuache awe wazi kutoa yaliyomoyoni mwake kuhusiana na kuambukizwa kwake.
Tena umesema anajuta, ni kweli anajuta zaidi baada ya kuandika huu uzi kwa sbbu wapo watu wanaomfahamu au wanaoshawishika kumtafuta sasa ili wamfahamu kwa id yake nyingine na inawezekana akafahamika ktk uhalisia wake kitu amabcho hakukitaka. Hii inaweza kuwazuia wengine pia kushare matatizo au uzoefu wao ktk masuala fulani fulani.
Nadhani lingebaki wazo lilelile la mtoa mada la kutifahamika kwa I'd yake ya zamani kama wafanyavyo watu wengine humu.