Mimi ni Mkristo ila Pongezi kwa Misikiti mingi ya Dar es Salaam kutoa Bure na kwa Bei nafuu Huduma ya Maji

Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.
Hata nyumba za matajiri wa kiarab,utakuta Kuna Bomba nje,we ni kujichotea tu,mpaka maji ya kunywa kwenye dispenser Tena ya baridi kabisa,hutolewa bure,
Sijawahi ona kanisa likitoa hii huduma,wao hutuambia wanajenga shule na hospitari,lakini huduma zote hizi bei zake huwa balaa
Wana ubinafsi na wapo kifedha Zaid,
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Kongole kwa GENTAMYCINE
Karibu katika dini ya haki
 
Waislam wa Tanzania ni watu wa kipekee sana..ni waungwana sana..Hata mimi pia nakuunga mkono kuwashukuru na kuwaombea.
 
Sasa mbona Waislamu wengi wanajaa kwa Mwamposa kila siku kwenda kuokoka!?
Hakuna uthibitisho kama wale ni waislam au km ni kwel wanashida una kumbuka enz ya kakobe vp kuhusu mfalme zumaridi na je bg malisa nae wale wafanyabiashara mjomba ata mwamposa atapita kujaza watu sio kama anaokoa kwel unajua dunia ya sasa imejaa shida na maradh tofaut ukisema unasaidia watakufuata kumbe ujanja mwingi
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Ukweli ni kuwa waislamu misingi Yao I imesimama , ukristo umekuwa biashara , na hii inatokana na kuwepo Kwa room ya kuota Kwa madhehebu kama uyoga , kila mtu ni mchungaji , imagine et masanja mara MC pili pili ni mchungaji
 
Akili za kizwazwa hizo nakupa mifano hai ile KMCM hospitali wanaotibiwa pale ni wazungu toka Ulaya au?
Kule Ifakara kuna hospitali ya Mt.Francis wanatibiwa pale nao ni wazungu?
Tumia akili dada sio kazi kufuga nywele na kucha inachelewa sana kujua mambo muhimu ya kwenye maisha ya kawaida.
Wana kawimbo kao toa ndugu toa ndugu ulicho nacho bwana anakuona mpk rohon kwako hahahaha makanisa yalianzishwa kwa manufaa ya nchi flan flan mfan roma italy anglican england hayakuwa kwa ajil ya wote
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Bahati mbaya sana watu wengi huamini Waislam ni watoaji jambo ambalo si kweli. Ni rahisi sana kupata msaada kanisani kuliko msikitini.
 
Akili za kizwazwa hizo nakupa mifano hai ile KMCM hospitali wanaotibiwa pale ni wazungu toka Ulaya au?
Kule Ifakara kuna hospitali ya Mt.Francis wanatibiwa pale nao ni wazungu?
Tumia akili dada sio kazi kufuga nywele na kucha inachelewa sana kujua mambo muhimu ya kwenye maisha ya kawaida.
Iyo hospital ya KMCM mi cfahamu harafu acha shobo we kipap@
 
Akili za kizwazwa hizo nakupa mifano hai ile KMCM hospitali wanaotibiwa pale ni wazungu toka Ulaya au?
Kule Ifakara kuna hospitali ya Mt.Francis wanatibiwa pale nao ni wazungu?
Tumia akili dada sio kazi kufuga nywele na kucha inachelewa sana kujua mambo muhimu ya kwenye maisha ya kawaida.
 
Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.
Hata nyumba za matajiri wa kiarab,utakuta Kuna Bomba nje,we ni kujichotea tu,mpaka maji ya kunywa kwenye dispenser Tena ya baridi kabisa,hutolewa bure,
Sijawahi ona kanisa likitoa hii huduma,wao hutuambia wanajenga shule na hospitari,lakini huduma zote hizi bei zake huwa balaa
Mi sio nabii ila wewe umesoma kati ya shule hizi,TAMBAZA,AZANIA,BENJAMIN au umeishi upanga,kkoo au posta
 
Back
Top Bottom