Mimi ni Mkristo ila Pongezi kwa Misikiti mingi ya Dar es Salaam kutoa Bure na kwa Bei nafuu Huduma ya Maji

Kipind hiki kigumu cha maji ni vizuri kuwa wote ...ila leo yametoka najaza mpaka vijiko.
Mkuu on a serious note uko ( unaishi ) wapi Maji yanatoka kwani Mimi kote kote niliko Kawe Uswahilini na Masaki Ushuani Maji yamekuwa adimu mno mpaka nashindwa hata kwenda Kutongoza ili Nikabandue.

Masaki mitaa ya Chole Road hadi huku Coco Beach maeneo ya Nyumba ya Ubalozi mdogo wa Marekani Maji hakuna sasa ni Mwezi.

Kawe yote kuanzia Ukwamani, Udoeni, Umbwelani, Tanganyika Packers kwa Waumini wa Mwamposa wanaolala Uwanjani wakipigwa na Upepo Usiku Kucha mpaka Maringo walifanya Tukio Baya Panya Road Maji hakuna leo ni Siku ya Nne ( 4 ) sasa.
 
Karibu kwenye dini ya kweli achana na hao wapiga pesa.
Asante Mkuu na siku si nyingi nitakaribia huko. Waislamu mna Upendo wa Kweli halafu siyo Wachoyo na Wanafiki kama huku niliko.

Halafu nawapenda sana Wanawake wenu kwani ni Wasafi 24/7, Wakarimu, wanajua Kupika 'Masotojo' na Kitandani wapo 'Superb' tofauti na kule Kwingineko.
 
Hata hapa nilipo Kuna msikiti Wana kisima, wanauza maji kwa ndoo sh. Mia tu, Kuna mmoja katika dini ya upande mwingine yeye anauza ndoo mia mbili, Tena anaangalia sura,Kama ulikuwa unapitaga umsalimii upati maji,

Kwa ufupi wakristo wengi Wana Roho mbaya huo ndio ukweli,
Bado sijajua tatizo ni nini lakini ukweli ni mmoja tu, Ukristo umekuwa ni biashara.

Madhehebu yote ya Kikristo ni biashara imetawala, hata kuko makanisani wanaangaliana ni yupi mwenye pesa na mwenye pesa ndio anapewa heshima.

Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.
Hata nyumba za matajiri wa kiarab,utakuta Kuna Bomba nje,we ni kujichotea tu,mpaka maji ya kunywa kwenye dispenser Tena ya baridi kabisa,hutolewa bure,
Sijawahi ona kanisa likitoa hii huduma,wao hutuambia wanajenga shule na hospitari,lakini huduma zote hizi bei zake huwa balaa
Ukiona Siku ama Kanisa au Mkristo anatoa hii Huduma niite na nitakunya ( nitaukweka ) Mubashara kabisa tena Mchana kweupe MP 1 Lugalo Makongo.
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Katika Uisilamu tunasema maji ni ya Mwenyezi Mungu,huruhusiwi kumyima binadamu mwenzako,siyo tu kumyima binadamu hata kumyima mnyama huruhusiwi,na kunabaraka tele kuwapa maitaji maji binadamu wenzako,hata kama ulikufa ukaacha visima Mungu anakupa dhawabu na kukupunguzia dhambi zako
 
Hivyo visima vinajengwa kwa msaada wa Waturuki kwa 100% na hupewa masharti ya kutoa maji bure.
Wale Waturuki wanapigwa sana na masheikh kwenye ujenzi wa visima na misikiti.
Wanagharamia gharama za kiwanja cha msikiti au kisima kwa 100%
Wanagharamia gharama za ujenzi wa visima au misikiti kwa 100%
Yet watu wanachangishwa gharama za kununua viwanja, tofali n.k.
Wale Waturuki hata leo ukiwaambia tu kuna mahali hakuna msikiti wakija kuprove tu wanatoa pesa yote .
Absolute Rubbish.
 
Hata hapa nilipo Kuna msikiti Wana kisima, wanauza maji kwa ndoo sh. Mia tu, Kuna mmoja katika dini ya upande mwingine yeye anauza ndoo mia mbili, Tena anaangalia sura,Kama ulikuwa unapitaga umsalimii upati maji,

Kwa ufupi wakristo wengi Wana Roho mbaya huo ndio ukweli,
Hili la Sisi Wakristo kuwa na Roho Mbaya na naongezea pamoja na Unafiki nakubaliana nawe 100% Mkuu.
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Uishi Maisha marefu mkuu
 
Back
Top Bottom