Mimi ni Mkristo ila Pongezi kwa Misikiti mingi ya Dar es Salaam kutoa Bure na kwa Bei nafuu Huduma ya Maji

Ukiona Siku ama Kanisa au Mkristo anatoa hii Huduma niite na nitakunya ( nitaukweka ) Mubashara kabisa tena Mchana kweupe MP 1 Lugalo Makongo.
Wakisoma hii thread uenda labda wakabadilika nakuanza kuwa na roho nzuri kwa jamii,

Taasisi za kikristo zipo kifedha Zaid hazina utu,pamoja pia na waumini wao wamelithi hizo roho za ubinafsi
 
Uku kwetu Tunaishi na wa Sirilanka sasa wale kuna wengine (hawana dini) na wengine waislam aise hawa waislam tunaishi nao kama Weusi wenzetu wacheshi sana.
Sasa wale wazungu muda wote wanaishi wenyewe tu.
 
Back
Top Bottom