Mimi ni Mkristo ila Pongezi kwa Misikiti mingi ya Dar es Salaam kutoa Bure na kwa Bei nafuu Huduma ya Maji

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
 
Ni kweli..sio maji tu hata ukikwama nauli ukienda msikitini unachangiwa pesa mambo yanaenda..! Kule kwingine getini kuna mlinzi..! Na wao ndio wanachangia wachungaji wanunue magari..ila wao wakitaka magari wanaombewa..! Ila ngoja waje mkuu..
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Mungu akufikishe siku hiyo aamin
 
Uislam kutoa ni jambo jema mbele ya Mungu na msaada sio lazima uwe muislam tuu hapana hatubagui na ndio Mana unaona ijumaa watu wengi hutoka kwenye majumba Yao na kujazana misikitini na mitaani kwa kupata misaada mbali mbali yote hufaya hivyo ili kujikurubisha kwa Mungu
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Karibu kwenye dini ya kweli achana na hao wapiga pesa.
 
Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.
Hata nyumba za matajiri wa kiarab,utakuta Kuna Bomba nje,we ni kujichotea tu,mpaka maji ya kunywa kwenye dispenser Tena ya baridi kabisa,hutolewa bure,
Sijawahi ona kanisa likitoa hii huduma,wao hutuambia wanajenga shule na hospitari,lakini huduma zote hizi bei zake huwa balaa
 
Usisahau pia pesa za kujenga hizo shule mnachanga waumini na pesa za kujenga hospital ila muumini hawezi kumudu kusomesha mwanae hapo kwenye shule ya kanisa na hakuna offer yoyote.
 
Hivyo visima vinajengwa kwa msaada wa Waturuki kwa 100% na hupewa masharti ya kutoa maji bure.
Wale Waturuki wanapigwa sana na masheikh kwenye ujenzi wa visima na misikiti.
Wanagharamia gharama za kiwanja cha msikiti au kisima kwa 100%
Wanagharamia gharama za ujenzi wa visima au misikiti kwa 100%
Yet watu wanachangishwa gharama za kununua viwanja, tofali n.k.
Wale Waturuki hata leo ukiwaambia tu kuna mahali hakuna msikiti wakija kuprove tu wanatoa pesa yote .
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Sawa. Ila ubaki huko huko maana sisi hatuna watu wenye utoto utoto na upuuzi kama wako. Isije ikawa wenzio wamekutenga sasa unajaribu kutafuta attention huku kwetu. Sisi hatutaki mijitu mipumbavu. Tumepokea pongezi. Na hata Elimu, Matibabu na Malazi tunatoa bure. Njoo ukatibiwe akili yako.
 
Hii ni kweli kabisa,misikiti Mingi,hutoa huduma ya maji Bure kabisa.
Hata nyumba za matajiri wa kiarab,utakuta Kuna Bomba nje,we ni kujichotea tu,mpaka maji ya kunywa kwenye dispenser Tena ya baridi kabisa,hutolewa bure,
Sijawahi ona kanisa likitoa hii huduma,wao hutuambia wanajenga shule na hospitari,lakini huduma zote hizi bei zake huwa balaa
Kwa hiyo anayekujengea shule na hospitali na anayekukaribisha kwake ukale ubwabwa ni nani mwenye msaada zaidi?
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Hata hapa nilipo Kuna msikiti Wana kisima, wanauza maji kwa ndoo sh. Mia tu, Kuna mmoja katika dini ya upande mwingine yeye anauza ndoo mia mbili, Tena anaangalia sura,Kama ulikuwa unapitaga umsalimii upati maji,

Kwa ufupi wakristo wengi Wana Roho mbaya huo ndio ukweli,
 
103 Reactions
Reply
Back
Top Bottom