Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,798
- 55,567
Islam DiniOna hii
Islam DiniOna hii
Kila upande una mazuri na mapungufu yakeBahati mbaya sana watu wengi huamini Waislam ni watoaji jambo ambalo si kweli. Ni rahisi sana kupata msaada kanisani kuliko msikitini.
Usilitegemee kabisa hilo kutoka Kwetu Wakristo akina GENTAMYCINE sawa?Nimeenda Muhimbili siku moja, naona maustadh wanagawa maziwa asubuh wodi nzima hawachagui dini wala nini. Lita kama 200 kila siku wanagawa bure ili kuapata thawabu
Km upo dar Ni rahisi Sana wapo kila mahali..na Ni vema ukimpata mwanamke wa kiislamu hasa maeneo ya Karibu na unapoishi...ukimpata ustadhati ndio hautojutia...Duh nampataje sasa
Mkuu huo Ni udhaifu wa wengi tu..hasa km Hoja ilihusu mambo ya siasa ...wengi hatuna personal torelanceHapana FaizaFoxy miyeyusho..kuna mambo anayaendeleza hata PM. Mfano mm siwezi kumuwekea mtu kinyongo akija pm ana jambo lake kisa kutofautiana humu kwenye mijadala.
Wewe inaonyesha hata madrasa haujawahi kugusa kwasababu haujui chechote kile
Huyo kichaa ndio umeweka hitimisho kuwa eti ndio kawasilisha mawazo ya wakristo? Tumia akiliIla wewe jamaa ni mbishi sana ,ndugu zako wakristo wameprove hilo kuwa nyinyi mpo after money ila wewe unaangaika kupinga.Waislam wanafundishwa kwenye dini yao sio kama nyinyi
Maji yametobolewa chini na michango ya watu ndio uyauze kweli?Aaah Sinza kuna ujinga sana, maji ni Kero mno, jua kali.
Nami nikupongeze rafiki yangu GENTAMYCINE kwa kuliona hilo.
Hiyo hali sio Dar tu ni karibu nchi nzima, pale walipo waislam basi huduma hiyo ama ni bure au nafuu.
Ukifika Zanzibar ndio bure kabisaaa huduma ya maji.
Sawa basi. Huyu aliyepo naye ni muislam, amalize tatizo la maji.Jambo pekee ninakowavutiwa na Waislamu ni kuwa Marais Waislamu wanakuwa na busara na nchi inastawi vyema kuliko wa upande wetu wa katoliki
Ni kweli mkuu,Kuna sadaka za kujiteketeza.hizo unatoa mpaka nauli ya kurudi kwako. Wenzio wana panda gari lenye AC na mabodigadi juuNi kweli..sio maji tu hata ukikwama nauli ukienda msikitini unachangiwa pesa mambo yanaenda..! Kule kwingine getini kuna mlinzi..! Na wao ndio wanachangia wachungaji wanunue magari..ila wao wakitaka magari wanaombewa..! Ila ngoja waje mkuu
Mkuu, tuwe wa kweli tuache ligi. Kwani makanisa yamejengwa hewani?.Maji yametobolewa chini na michango ya watu ndio uyauze kweli?
Hapa Unakosea, hakuna tawala na awamu za hovyo kama za Hawa.Ni awamu zinazotawaliwa na Rushwa na ufisadi mkuu na uvivu wa watendaji. Ni watu wa matamko zaidi kuliko utendajiSawa basi. Huyu aliyepo naye ni muislam, amalize tatizo la maji.
Na kushangaa. Mbona marais waislam tumekuwa nao watatu vilevile.
Na ndiko katika vipindi hufanyika ufisadi wa kutisha.Jambo pekee ninakowavutiwa na Waislamu ni kuwa Marais Waislamu wanakuwa na busara na nchi inastawi vyema kuliko wa upande wetu wa katoliki
Hapo kwenye kusema " dini ya kweli" ndipo namkumbuka Salman na kitabu chake cha Satanic Verses.Karibu kwenye dini ya kweli achana na hao wapiga pesa.
Insha'Allah Mola akufanyia Tawakal uingie kwenye uislamu. Ila uislamu ni dini ya haki na ukweli. Ukiingia kwenye uislamu uache kujidanganya kwamba unaishi dar wakati unaishi Bunda mjiniMwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.
Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Hahahah!!! Naona mkuu liqud hapo umeenda sawa na huyu mtuInsha'Allah Mola akufanyia Tawakal uingie kwenye uislamu. Ila uislamu ni dini ya haki na ukweli. Ukiingia kwenye uislamu uache kujidanganya kwamba unaishi dar wakati unaishi Bunda mjini