Mimi ni Mkristo ila Pongezi kwa Misikiti mingi ya Dar es Salaam kutoa Bure na kwa Bei nafuu Huduma ya Maji

Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Katazame Muhimbili kwenye wadi walizolala wagonjwa. Asubuhi watu wakiingia kuwaona wagonjwa, viongozi wa kiislam wanabeba chupa za uji na chai na mikate na kuwatilia wagonjwa wote kwenye vyombo vyao. Lakini viongozi wa kikristo wanabeba Biblia tu mikononi mwao na kuwaombea wagonjwa.
 
Sisi wakristo tuweni wakweli kwanza sisi wakristo wengi sana pamoja na Mimi Mwenyewe ni Mafarisayo na Masadukayo wakubwa kbsa kbsa

Tuacheni unafiki Waislamu Wenzetu kwenye Ubinadamu wametuzidi sana
Hapa na zumgumzia Waislamu Ambao sio Wa mlengo mkali wale wakati na chini

Kwanza ata ukioa Mwanamke wa Kiislamu Moyoni utatulia sana

Tukubali mapungufu Yetu tuache unafiki Bwana Yesu Kristo anatuona
 
Wewe inaonyesha hata madrasa haujawahi kugusa kwasababu haujui chechote kile
Nilishajua lengo lako bro madrasa ipi unaizungumzia
Yani mtu kasema anatoa ijumaa unaanza kumuuliza ijumaa kwanini

Ulitaka atoe lini. Kilicho kujaa wewe ni chuki so huna utakacho zingatia hata kikiwa na ukweli kiasi gani

Wapo wengine wanatoa kila siku wapo wanaotoa usiku na hata mchana

Acha chuki.

Na isitoshe alie toa uthibitisho sio gent pekeake na wakristo wengi tu humu wameamua kusema ya moyoni yaliyo ya kweli

Hivyo vyovyote utakavyo sema humu hakuna kitakacho badilisha ukweli huo ulio semwa.

Na kama kutukana watukane wote humu walio thibisha ukweli na sio gent tu
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Wakt mwingine una akili eti sema nn punguza matusi
 
kwenye kusaidiana waislam wako vizuri sana ...ww pata shida mfano.Goba huko gari imenok uone kama kuna mtu atakusaidia ..njoo temeke utasaidiwa kusukumwa hata na utashangaa
Sahih kbsa temeke Kuna upendo Sana hata kijana wa mtaani akiwa panya road anashauriwa kbsa hasije kuaribu tu maeneo ya mtaani hapo hapo hawatamuelewa wanasema asinyee kambi tu ila kwingine akaharibu na hata akiwa anatafutwa watamsitiri kijn wao Wana upendo mno

Mm Niko keko nhc hapo ila nimeona upendo mkubwa sana kwa waislamu kwa jamaa zao madogo wakizinguwa pande za uko kariakoo wanakuja jificha huku mtaani aise ukija Kama Ni askar uwez pewa ushirikino na ukicheza utatandikwa wew

La mwisho niliwai kuishi mwandege huko mbele ya mbagala huko ,pale mwandege kuna paking ya malori yule muislamu mwenye hyo paking Ni muelewa hatari unaweza kumuachia gar alilinde Kama Ni bovu hata ukikah mwaka kwake ukija kutengeneza atakuchaji pesa kidg Sana

Sasa wew chijanganye kwa ndugu zangu kina masawee utafurahi San

All in all waislamu wanaupendo San ,na kusaidiana mno
 
Acha kupotosha watu wewe

mimi kwa mfano nina bomba la dawasa na natoa maji bure kila ijumaa kama swadaka kwa watu wa dini zote na nimepewa pesa na mturuki gani?

Kama hujua swadaka ya maji ni miongoni mwa swadaka zenye kuendelea....... Sisi tunaamini kwamba ukichimba kisima watu wakatumia maji hata ukifa kama watu wanaendelea kupata huduma ile unahesabika kama unaendelea kutenda mema na malipo yake unayapata milele

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Najifunza kitu kizuri sna kutoka kwenu haswa kwa uku mjini
 
Kwa dhati kabisa Tanzania naipenda Sana

Tutakwaruzana tutasemana ktk Imani zetu lakini kwenye ukweli tupo pamoja

Muishi Maisha marefu wote mliochangia mada kwakusema ukweli hata kama nyinyi sio waislamu

Nawapenda Sana.
Ukweli mtupu popoma kasema .nawashanga Sana huu upande wetu tunachangishan mipesa mikubwa na Kisha kwenda kujenga mashule na mahosiptali zao lkn huduma Bei zake sas usipime ,mfno Almc ,Arusha Lutheran medical center zamani selian Bei za humuda za pale siyo rfk

RC,KKKT,TAG,KINA MWAMPOSA jitafakari I sana
 
Mwenyezi Mungu awabariki Waislamu wote, Misikiti yote na Vyuo vyenu kwa kutoa Bure kabisa na kwa Gharama Ndogo Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Kwa Taasisi za Kikristo naomba GENTAMYCINE ninyamaze tu huku nikiwa na Maumivu yangu kwani kuna mahala Kanisa lina Matenki ya Maji Matano na Visima Viwili ila hakuna hata Mtu anayeambiwa akachote Maji sana sana GENTAMYCINE nimeona tu Nguo za Wanaotupigisha Magoti Kimakusudi kila Jumapili zikifuliwa huku Walinzi wakimwagiana Maji kwa Mmoja wao Kusheherekea Birthday yake huku akiwa ni Masikini wa Kutukuka kama GENTAMYCINE Mimi.

Waislamu Tanzania Asanteni, Mbarikiwe zaidi na sina Deni nanyi. Ndiyo maana nimeapa kuwa nikija Kuoa nitaoa Mwanamke wa Kiislamu na ikiwezekana hata GENTAMYCINE kutakiwa kuwa Muislamu nitafanya hivyo tena haraka mno kwa Kuitwa ama Mohamed GENTAMYCINE au Suleiman GENTAMYCINE kutokana na Roho Nzuri na ya Utu niliyoiona kwa Waislamu wengi tofauti na kwa Wakristo wenzangu.
Mkuu Genta,
imani huwa haipimwi kwa kutazama jambo moja.
Kama ndivyo; basi utahamia kwingine kila iitwapo leo!
Manake siku hawa uliowasifia leo, ukianza kujua madhaifu yao, utakuja hapa kutangaza kuachana nao pia.
Kimsingi wewe hupaswi kumwangalia mwanadamu, bali yule uliyemwamini ukamfuata.
 
Vijana wa Kiume watoa 'Nukudi' zenu huwa mna matatizo makubwa sana mkishabobea 'Kunukudiwa' nao.

Cc: LIKUD
Mkataa kwao mtumwa. Jikubali mkuu. Mbona Konde Boy katoka Mtwara kaja Dar mtu mzima lakini anakubalika na kuheshimika?

Kuzaliwa Bunda sio tatizo mkuu. Wewe kuishi Bunda wala sio tatizo mkuu. Tatizo ni pale Unapo pakataa nyumbani kwenu unapoishi na ku claim mji ambao hujawahi hata kufika. Hapo ndo watu wanapo kudharau.

Jikite kwenye kutoa content bila kutumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa unaishi dar..

Watu wameshakustukia wanakuchora tu.

Mwanaume huhitaji kuwakumbusha watu kila dakika kwamba wewe ni mwanaume.

Unajichoresha sana mkuu
 
Back
Top Bottom