Mimi ni Masonic pre-member, nina hofu na mwanamke nilienae

ANAOTA TU HUYU NA STORI ZENU ZA VIJIWENI! JAMAA WAPO MAKINI KAMA DR SHIKU MLOPOKAJI KAMA WEWE HATA STAGE YA INITIATE HUTAFIKA.SIO WAJINGA KIASI HICHO YOU ARE STILL A NOVICE!
Mkuu Hutaki au
 
Mkuu Hutaki au
HUJUI LOLOTE! NA WANGEKUPENDA MPAKA MKE WANGEKUCHAGULIA! ACHANA NA UFREE MASON WENU WA VIJIWENI.HAWA HAWANA SHIDA NA MTU NI WAO NDIO WANAKUTAFUTA BAADA YA KUKUPELELEZA KWA MUDA MREFU NA WATAKUINGIZA KING TU NA MPAKA WATAKULENGESHEA MPAKA MKE
 
Mkuu Unakosea, Haiwi Hivo
 
Kwa Mara ya Kwanza Nilisikia Story za Ishu za Freemason Nikiwa Darasa la 5 Nafikiri ilikuwa Mwaka 2007!

Nilikuwa Interested sana kiukweli na Hii Secret Society, Kiasi Kwamba Nikawa naiba Laptop ya Mzee Kuingia Mtandaoni Kuwafatilia!

Nakumbuka Nilikuta wale jamaa walikuwa Wajenzi wanaojenga kwa mawe yaani Masons..Nikavutiwa sana na ile ishu!

Nilibahatika kufaulia shule Moja ya Kipaji Pale Mjini Moshi, kwakuwa nilikuwa interested na Ufreemason Nakumbuka Nilipiga Chat kwenye Dorm Letu Juu Nikiandika The Mason... Nafikiri waliosoma hiyo shule miaka ya 2010-2013 wanakumbuka!

Kwa siri sana Mwaka 2012 Nilikuja Dar es salaam Kuja Kumtafta Si Andy Chande (RIP), Niliongea Nae akanipa Mwongozo ambao Kiukweli ulinisaidia sana...kujaribu kutaka Kutimiza Ndoto yangu kwa kiasi Kikubwa!

Mwongozo Ulioniletea tatizo ni huu wa Mwenzi wangu kufahamika kwenye Hii Jamii yetu, yaani wao wamjue na yeye aridhike kwamba ameridhia Kujiunga kwenye hii jamii ya siri na yupo tayari Kushirikiana kwa hali yeyote ile!

Na Huyo Mwanamke sharti Niwe Mwanamke Ninaempenda Kweli na nina Malengo Nae ya Maisha!

(Ikumbukwe yote haya nimefanya kwa siri Familia yetu haijui...Kipindi Hicho nilisindikizana na Mchizi angu ambae Naye yupo interested)

Tatizo Linaanzia Hapa!

Katika kudate na wanawake Kadhaa Nikaja Kukutana Mwaka huu na Mwanamke ambae Nimempenda Kiukweli na nafikiria kumuoa..yaani she is the best choice than ever!, na nilipanga tukifika hatua fulani lazima naye aingie kundini

wakati nimekutana na huyu binti alikuwa wa kawaida sana na hakuwa hata mtu wa dini dini, sasa Nashangaa siku zinavyozidi Kwenda Binti amekuwa Mlokole Haswa (Kiukweli Nakereka na Hili)....yaani amekuwa mtu wa sala kila time ananiombea mimi, anaombea uhusiano wetu, anaombea Familia Zetu!

Nimejaribu kufanya Figisu za kukwamisha hizi jitihada zake za Maombi na Ulokole na Nimeshindwa!, Na Nina Hofu na huu ulokole wake hawezi kuelewa Proposal yangu ya Kujiunga/Kunisuport katika Hii Jamii yetu ya siri!

Sasa wanandugu Nisaidieni je Nifanye Njia zipi kukwamisha Jitihada zake hizi za kilokole, yaani arudi kuwa kama zamani alivokuwa, maana mwanzo hakuwa mtu wa dini dini wala ulokole!

TheMason
Masons hawako kama were ulivyo. Kuja huku JF kutafuta msaada imekunyima sifa ya kuwa member wa secret society. Acheni utani na watu. Mafioso wa Sicily aje Manzese kwa Panya Road kuomba msaada? Kisha Masons na Ukristo wa Waliookoka ni vitu viwili tofauti. Nuru na Giza
 
Mtoto wa sekondari umetoka Moshi ukaja Dar kwa siri ukapewa audience moja kwa moja na Grand Master Sir Andy Chande? Akakupa mwongozo wa nini ufanye? Dogo acha fiksi za ki-sekondari. JF ni jukwaa la wenye akili sio watu wa kuwaletea story za kijiweni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Some people are better than King Majuto

Yaani utoke hukoo uje ongopea watu wazima na akili zao timamu
Tena kwa kumkana Muumba wako..??
Bangi za Moshi zipimwe jamani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa Mkuu Mbona Emotions za Hivo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Some people are better than King Majuto

Yaani utoke hukoo uje ongopea watu wazima na akili zao timamu
Tena kwa kumkana Muumba wako..??
Bangi za Moshi zipimwe jamani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaaa!
 
Ninachojua Mimi freemasonry wanakufanya kuwa huru kutoka kwenye utumwa wa kifikra sasa yeye mwache achague anachoitaji Kwa mason sio zambi kwao
 
Hahahaaa sawaa sawaaa!!
 
Ndo maan JF siku hizi pumba nyngi watoto wamejaa humu na na uwezo wa kufikiri ni mdogo mno. Hapo anaona mjanja kwa kuleta story za uongo na kweli..
 
Mkuu Naomba Mimi na wewe tupimane uwezo wa Kufikiri!
 
Nadhan boom mmewekewa we mtoto una miaka mimgapi na umejiunga lini
 
Hakuna anayeweza kushindana na Bwana Mungu wa Majeshi.

Roho Mtakatifu amekukutanisha na huyo binti ili Umrudie Mungu Mwenyezi.

Hesabu 23:23
"..Hapana uchawi juu ya Israel wala uganga juu ya Yakobo.."
 
Kwa Mara ya Kwanza Nilisikia Story za Ishu za Freemason Nikiwa Darasa la 5 Nafikiri ilikuwa Mwaka 2007!

Nilikuwa Interested sana kiukweli na Hii Secret Society, Kiasi Kwamba Nikawa naiba Laptop ya Mzee Kuingia Mtandaoni Kuwafatilia!

Nakumbuka Nilikuta wale jamaa walikuwa Wajenzi wanaojenga kwa mawe yaani Masons..Nikavutiwa sana na ile ishu!

Nilibahatika kufaulia shule Moja ya Kipaji Pale Mjini Moshi, kwakuwa nilikuwa interested na Ufreemason Nakumbuka Nilipiga Chat kwenye Dorm Letu Juu Nikiandika The Mason... Nafikiri waliosoma hiyo shule miaka ya 2010-2013 wanakumbuka!

Kwa siri sana Mwaka 2012 Nilikuja Dar es salaam Kuja Kumtafta Si Andy Chande (RIP), Niliongea Nae akanipa Mwongozo ambao Kiukweli ulinisaidia sana...kujaribu kutaka Kutimiza Ndoto yangu kwa kiasi Kikubwa!

Mwongozo Ulioniletea tatizo ni huu wa Mwenzi wangu kufahamika kwenye Hii Jamii yetu, yaani wao wamjue na yeye aridhike kwamba ameridhia Kujiunga kwenye hii jamii ya siri na yupo tayari Kushirikiana kwa hali yeyote ile!

Na Huyo Mwanamke sharti Niwe Mwanamke Ninaempenda Kweli na nina Malengo Nae ya Maisha!

(Ikumbukwe yote haya nimefanya kwa siri Familia yetu haijui...Kipindi Hicho nilisindikizana na Mchizi angu ambae Naye yupo interested)

Tatizo Linaanzia Hapa!

Katika kudate na wanawake Kadhaa Nikaja Kukutana Mwaka huu na Mwanamke ambae Nimempenda Kiukweli na nafikiria kumuoa..yaani she is the best choice than ever!, na nilipanga tukifika hatua fulani lazima naye aingie kundini

wakati nimekutana na huyu binti alikuwa wa kawaida sana na hakuwa hata mtu wa dini dini, sasa Nashangaa siku zinavyozidi Kwenda Binti amekuwa Mlokole Haswa (Kiukweli Nakereka na Hili)....yaani amekuwa mtu wa sala kila time ananiombea mimi, anaombea uhusiano wetu, anaombea Familia Zetu!

Nimejaribu kufanya Figisu za kukwamisha hizi jitihada zake za Maombi na Ulokole na Nimeshindwa!, Na Nina Hofu na huu ulokole wake hawezi kuelewa Proposal yangu ya Kujiunga/Kunisuport katika Hii Jamii yetu ya siri!

Sasa wanandugu Nisaidieni je Nifanye Njia zipi kukwamisha Jitihada zake hizi za kilokole, yaani arudi kuwa kama zamani alivokuwa, maana mwanzo hakuwa mtu wa dini dini wala ulokole!

TheMason
Mwaka 2005 uliouwa darasa la 5 hapo una miaka 11. Leo hii ni 2017 hivyo una miaka 23. Wewe bado mtoto kufikiria kuoa. Unless uolewe kama Dogo janja.
 
Moja ya sifa tunayohitaji ili uwe mwenzetu ni lazima uwe na dini na ni member mzuri wa dini yako...
Sasa wewe unaongelea freemasons gani au wa facebook?
2007??? La 5 ???
 
Kwanini usiwaulize hao Masonic wenzio wakupe mbinu???

Pathetic.
 
Back
Top Bottom