Mimi ni Masonic pre-member, nina hofu na mwanamke nilienae

Mkuu km freem mason wanavyo kanusha kila Leo sio kikundi cha Dini.. Unadhani no kwanini hupendi kumuona mpenzi wako akishikilia mambo ya Dini kuzidi kikundi chenu?
 
sitaki ashikilie ili akubali kujiunga Kundini!
 
Hao utadanganywa tu, ingekuwa vyema ukawauliza masonic wenzio, huko ungepata ushauri wa kukufaa
 
Yesu kristo anahitaji maisha yako na mambo yako yote.upo Tatar kumupokea?
 
Wewe ni tabu na kichaa wa mwisho, kama hupendi Mungu what do u believe, maana a mason should believe in the supreme being au the great architect as how they name him...af mtoto mdogo sana 2007 uko la tano bila shaka sasa una miaka kwenye 21-22 na kama uliendelea na elimu vyema upo second yr chuo, kaa chini usome acha use.n.ge baridi ..
 
ANAOTA TU HUYU NA STORI ZENU ZA VIJIWENI! JAMAA WAPO MAKINI KAMA DR SHIKU MLOPOKAJI KAMA WEWE HATA STAGE YA INITIATE HUTAFIKA.SIO WAJINGA KIASI HICHO YOU ARE STILL A NOVICE!
 
Wewe ni tabu na kichaa wa mwisho, kama hupendi Mungu what do u believe, maana a mason should believe in the supreme being au the great architect as how they name him...af mtoto mdogo sana 2007 uko la tano bila shaka sasa una miaka kwenye 21-22 na kama uliendelea na elimu vyema upo second yr chuo, kaa chini usome acha use.n.ge baridi ..
Good at Aproximation
 
Back
Top Bottom