Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Kwa mara ya kwanza nilisikia story za ishu za Freemason nikiwa darasa la 5 nafikiri ilikuwa mwaka 2007.
Nilikuwa interested sana kiukweli na hii secret society, kiasi kwamba nikawa naiba laptop ya mzee kuingia mtandaoni kuwafatilia.
Nakumbuka nilikuta wale jamaa walikuwa wajenzi wanaojenga kwa mawe yaani masons..Nikavutiwa sana na ile ishu.
Nilibahatika kufaulia shule moja ya kipaji pale mjini Moshi, kwakuwa nilikuwa interested na ufreemason nakumbuka nilipiga chat kwenye dorm letu juu nikiandika the mason... Nafikiri waliosoma hiyo shule miaka ya 2010-2013 wanakumbuka.
Kwa siri sana mwaka 2012 nilikuja Dar es Salaam kuja kumtafta Sir Andy Chande (RIP), niliongea nae akanipa mwongozo ambao kiukweli ulinisaidia sana kujaribu kutaka kutimiza ndoto yangu kwa kiasi kikubwa.
Mwongozo ulioniletea tatizo ni huu wa mwenzi wangu kufahamika kwenye hii jamii yetu, yaani wao wamjue na yeye aridhike kwamba ameridhia kujiunga kwenye hii jamii ya siri na yupo tayari kushirikiana kwa hali yeyote ile.
Na huyo mwanamke sharti niwe mwanamke ninaempenda kweli na nina malengo nae ya maisha.
(Ikumbukwe yote haya nimefanya kwa siri familia yetu haijui kipindi hicho nilisindikizana na mchizi angu ambae naye yupo interested)
Tatizo linaanzia hapa!
Katika kudate na wanawake kadhaa nikaja kukutana mwaka huu na mwanamke ambae nimempenda kiukweli na nafikiria kumuoa. Yaani she is the best choice than ever! Na nilipanga tukifika hatua fulani lazima naye aingie kundini
Wakati nimekutana na huyu binti alikuwa wa kawaida sana na hakuwa hata mtu wa dini dini, sasa nashangaa siku zinavyozidi kwenda binti amekuwa mlokole haswa (kiukweli nakereka na hili). Yaani amekuwa mtu wa sala kila time ananiombea mimi, anaombea uhusiano wetu, anaombea familia zetu.
Nimejaribu kufanya figisu za kukwamisha hizi jitihada zake za maombi na ulokole na nimeshindwa! Na nina hofu na huu ulokole wake hawezi kuelewa proposal yangu ya kujiunga/kunisuport katika hii jamii yetu ya siri.
Sasa wanandugu nisaidieni je nifanye njia zipi kukwamisha jitihada zake hizi za kilokole, yaani arudi kuwa kama zamani alivokuwa, maana mwanzo hakuwa mtu wa dini dini wala ulokole.
Themason